Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Wiki ijayo ni topic ya reproductive system. Subiri hapo hapo usiondoke atakuja na zote mbili ya me na ke zikutanapo ni kina gani hufikia. Usiondoke hapo subiria tu
Na limemfiti vizuri sana. Kama kuna mwanafunzi hataelewa somo hilo hakika atakuwa kiraza😁😁Veronica Duque(43) aliyefundisha kwa miaka 15, sayansi ya jamii na sayansi ya asili, alinunua vazi la kuonyesha sehemu za ndani za mwili ili kufanya somo la kuhusu mwili lieleweke kwa wanafunzi wake wa darasa la tatu ‘third grade’
Mwalimu huyo anasema aliliona vazi hilo mtandaoni na kavutiwa kulinunua ili awe kielelezo kwenye ufundishaji. Mumewe alikuwa wa kwanza kutuma picha za mwanamke huyo akimsifia kwa ubunifu wake
View attachment 1436871
View attachment 1436874
Sicho kilichokuwa kimepangwa kufundishwa katika hiyo grade 3.Mbona nyeti hamna
Umenifanya nisiendelee kushuka comment z chini...
Hapo anafundisha wanafunzi wa darasa la tatu (grade 3) ambao hawasomi sex anatomy inayohusisha hizo genitalia
Mkuu una uhakika darasa la tatu wanafundishwa kusoma, kuandika na kuhesabu? (KKK)Huku Tanzania mtoto wa darasa la 3 anafundishwa Kusoma,Kuandika na Kuhesabu...
Hipo haja ya kubadilisha mitaala. Maana raia wanazeekea bado hata chuo kikuu hawajafika..
Hapana.Huku Tanzania mtoto wa darasa la 3 anafundishwa Kusoma,Kuandika na Kuhesabu...
Hipo haja ya kubadilisha mitaala. Maana raia wanazeekea bado hata chuo kikuu hawajafika..
Mkuu una uhakika darasa la tatu wanafundishwa kusoma, kuandika na kuhesabu? (KKK)