Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Veronica Duque(43) aliyefundisha kwa miaka 15, sayansi ya jamii na sayansi ya asili, alinunua vazi la kuonyesha sehemu za ndani za mwili ili kufanya somo la kuhusu mwili lieleweke kwa wanafunzi wake wa darasa la tatu ‘third grade’
Mwalimu huyo anasema aliliona vazi hilo mtandaoni na kavutiwa kulinunua ili awe kielelezo kwenye ufundishaji. Mumewe alikuwa wa kwanza kutuma picha za mwanamke huyo akimsifia kwa ubunifu wake
Mwalimu huyo anasema aliliona vazi hilo mtandaoni na kavutiwa kulinunua ili awe kielelezo kwenye ufundishaji. Mumewe alikuwa wa kwanza kutuma picha za mwanamke huyo akimsifia kwa ubunifu wake