Waalimu na ubunifu: Spain mwalimu avaa vazi la kuonesha mwili ili kufundisha anatomy

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Veronica Duque(43) aliyefundisha kwa miaka 15, sayansi ya jamii na sayansi ya asili, alinunua vazi la kuonyesha sehemu za ndani za mwili ili kufanya somo la kuhusu mwili lieleweke kwa wanafunzi wake wa darasa la tatu ‘third grade’

Mwalimu huyo anasema aliliona vazi hilo mtandaoni na kavutiwa kulinunua ili awe kielelezo kwenye ufundishaji. Mumewe alikuwa wa kwanza kutuma picha za mwanamke huyo akimsifia kwa ubunifu wake
1588357266299.png

1588357319649.png
 
View attachment 1436871
View attachment 1436874
Na limemfiti vizuri sana. Kama kuna mwanafunzi hataelewa somo hilo hakika atakuwa kiraza😁😁
 
Safi sana ngoja na mimi nimtafutie mwalimu awe anamfundisha mwanangu
 
Kuna mjinga mmoja keshasema mwalimu hana chura.
Kuna wajinga wengine nao watakuja kumuunga mkono.
Naipenda jf
 
Kupitia hii thread tumejifunza kwamba wengi wetu tuko preoccupied na kitu gani
 
Hapo anafundisha wanafunzi wa darasa la tatu (grade 3) ambao hawasomi sex anatomy inayohusisha hizo genitalia

Huku Tanzania mtoto wa darasa la 3 anafundishwa Kusoma,Kuandika na Kuhesabu...

Hipo haja ya kubadilisha mitaala. Maana raia wanazeekea bado hata chuo kikuu hawajafika..
 
Mkuu una uhakika darasa la tatu wanafundishwa kusoma, kuandika na kuhesabu? (KKK)
 
Back
Top Bottom