Tuna kilio chetu cha Waalimu wa Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya ya KALAMBO Mkoa wa RUKWA, tumeajiriwa tangu Mwaka 2025 mwezi wanne, mpaka leo tuko mwezi wa tano 2026 bado hatujathibitishwa kazini.
Wengi wamekariri kuthibitishwa kazini ni mwaka mmoja wakati unaweza kuthibishwa kazini zaidi ya mwaka mmoja kulingana na utendaji wako wa kazi.
Ukute hata pepmis hujajaza ya mwaka jana
Nimeajiriwa Novemba 2024, Wilaya ya Kalambo mpaka leo hii hatujaweza kuidhinishwa kazini mpaka sasa, wote Kada ya Afya, ajira ya tarehe 13 Novemba 2024.