Waalimu wanasabisha wenyewe wadharauliwe!!

Kwamba bado ajira hazijatoka, ndo wanavoambiana walimu waliohitimu masomo yao ya shahada za ualimu huko mtaani, wenyewe wanaziita BA au BSc.AJIRA..miezi nenda rudi , ajira bado, mtu mzima mindevu mpaka unyagoni bado linakula kwa mama et ajira bado, u should change ur mindset guys, ndo mana wanawalipa kidogo ukilnganisha na wengine, hata mapolis wamewazidi, tafteni mambo mengine ya kufanya wawatafute wao.. dont b cheap that way, mimi nina uhakika ni walimu peke yao (kwa wingi) ambao huhitimu shule na kubak nyumbani, et tunasubir ajira, hi inawafanya mdharauliwe, muonekane hamna mbinu mbadala, wengine wanasema et mlifaulu kias kidogo(not with flying colors-majority) so u deserv al those hurdles... why dont u prove them wrong? ni ushauri tu lakni, najua kuna watakaotoka mapovu apa lakini .. admiting the mistake is one way 4ward to correct it!
Kutolea povu hoja kama hii?
Thread hii ya elimu kuna tatizo gani kwa walimu kuulizia?We mwenyewe unaonekana kubaka thread au ni jealous kwenye fani hii?Kama wewe unazo usiwadharau wasionazo maana aliyekupa wewe ndo alio wanyima wengine,so usiwe mabega juu na kwatolea mapovu walimu tarajiwa wenye hamu ya kwenda kulitumikia taifa kwa huo mshahara uliouita mdogo kwako,japo kwao utawasitiri.
Hizo dharau zako zinaashiria "maskini akipata ------ hulia mbwata"
 
Mkuu Nyando nakubali hoja ya kwamba ningejikita kwa vijana wote.. lakni ukwel ni kwamba walimu pekee ndo et wanasubiria ajira za serikal, we angalia hata post zao humu JF, et ajira lini? kila kukicha.. ndo nimeanza nao ivoo.. .!
 
Mkuu Nyando nakubali hoja ya kwamba ningejikita kwa vijana wote.. lakni ukwel ni kwamba walimu pekee ndo et wanasubiria ajira za serikal, we angalia hata post zao humu JF, et ajira lini? kila kukicha..mbona maafisa mifugo awafany ivo? madaktar? manes? huku ndo kudharauliwa hasa ninakozungumzia. ndo nimeanza nao ivoo.. .!
 
tatizo huyu jamaa ana dharau mm na wasiwasi na elimu yake mwenye akili hawezi kupongea ujinga kama huo umeanza vzr baadae unaanza kutufananisha na mshahara wa polisi toa kauli nzuri zenye mashiko wewe mwenyewe huna kazi halafu unaleta nyodo elimika acha ubwege
 
Naamini ww mtoa mada umefanikiwa na umesahau ulikotoka. Nakushauri mweshimu yeyote anayekuzunguka bila ya kujali kazi wala kipato chake, chokoraa au ceo. Ukitimiza hayo Mungu atakubariki.
 
Ushauri mzuri, tatizo umeambatana na kashfa na dharau!

Ndala acha ushamba, hivi hali ya kukaa nyumbani na kusubiri ajira inafanywa na walimu watarajiwa tuu au hata watu wa kazi nyingine?hili ni tatizo la aina ya mtu binafsi na sio walimu kama watu wa taaluma husika, embu heshimu taaluma za watu wengine.Pia kumbuka 'nature' ya kazi ya walimu na mfumo wa ajira wa walimu ndio unawafanya wasubiri, hebu fikiri tangu lini wanaaminishwa na serikali post zinatoka kesho, kila siku kesho...wewe hauoni hii inawafanya wawe wanatarajia kupata kazi muda wowote kumbe wanakuwa wanapoteza muda kusubiri ajira?
 
tatizo huyu jamaa ana dharau mm na wasiwasi na elimu yake mwenye akili hawezi kupongea ujinga kama huo umeanza vzr baadae unaanza kutufananisha na mshahara wa polisi toa kauli nzuri zenye mashiko wewe mwenyewe huna kazi halafu unaleta nyodo elimika acha ubwege
mkuu bahatim usimdiscus mleta hoja, discus hoja, we unadhani ni dharau lakni ukwel ndo huo... kuna thread inaonesha mnataka kuandamana kisa serikal imewakaushia, af mkidharauliwa mnajiona wanyonge me nasema hii ki2 mnasababisha wenyewe, madaktar wanasubir zaid ya mwaka, ma afsa mifugo vile vile, misitu, manes n.k lakni nyie ni kubabaika tu.. BADILIKENI! bado cjaongelea mnavotumia mikopo ovyo!
 
Pole Mwl Bahati kwa kuumizwa na ukweli!
 
Mkuu mirisho UKITAKA UCHUKIWE na WALIMU ONGEA UKWELI! KWELI INAUMA.Si waona POVU lilivyo WAVUJA wenyewe
 
hayo ndiyo mawazo ya mbongo,we uliyeandika post hii unafikiria kwa kutumia makalio
Mkuu Yona anaefikiri hivyo ni huyo anaesubir ajira serikalini kama wewe ni mmoja wao pole, muda wa kubadilika unao! naona umetoka povu mkuu.. ukwel unauma ha ha ha!
 
Kwamba bado ajira hazijatoka, ndo wanavoambiana walimu waliohitimu masomo yao ya shahada za ualimu huko mtaani, wenyewe wanaziita BA au BSc.AJIRA..miezi nenda rudi , ajira bado, mtu mzima mindevu mpaka unyagoni bado linakula kwa mama et ajira bado, u should change ur mindset guys, ndo mana wanawalipa kidogo ukilnganisha na wengine, hata mapolis wamewazidi, tafteni mambo mengine ya kufanya wawatafute wao.. dont b cheap that way, mimi nina uhakika ni walimu peke yao (kwa wingi) ambao huhitimu shule na kubak nyumbani, et tunasubir ajira, hi inawafanya mdharauliwe, muonekane hamna mbinu mbadala, wengine wanasema et mlifaulu kias kidogo(not with flying colors-majority) so u deserv al those hurdles... why dont u prove them wrong? ni ushauri tu lakni, najua kuna watakaotoka mapovu apa lakini .. admiting the mistake is one way 4ward to correct it!

"No research no right to say" kuna wahitimu wengi wa fani tofauti wamejaa mitaani wapo wannasheria, watawala ambao wamekaa mtaani zaidi ya miaka mitatu tangu kuhitimu kwao. Wapo wanasheria walio amua kuingia darasani kufundisha shule binafsi kwa waliojitambua na wapo weengi ambao wapo wanapiga kelele mpaka leo. Inaelekea wewe unachuki na walimu japo unafahamu fika kuwa kwa sasahivi kuna vijana wahitimu wa vyuo mbalimbambali katika fani mbalimbali hawajapata kazi na wanasubiri kwa miaka kadhaak,
 
matha nakubaliana na wewe kuwa wapo vijana wengi 2 wenye fani nyingine wanaofanya hivo.. ila walim mmezidi, woote wako home wanasubir ajira, haiwezekani kufanya mambo mengine kwani? vp naskia jana mlitakiwa mkutane mwenge il muandamane kuelekea wizarani, imekuwaje?
 
Kwamba bado ajira hazijatoka, ndo wanavoambiana walimu waliohitimu masomo yao ya shahada za ualimu huko mtaani, wenyewe wanaziita BA au BSc.AJIRA..miezi nenda rudi , ajira bado, mtu mzima mindevu mpaka unyagoni bado linakula kwa mama et ajira bado, u should change ur mindset guys, ndo mana wanawalipa kidogo ukilnganisha na wengine, hata mapolis wamewazidi, tafteni mambo mengine ya kufanya wawatafute wao.. dont b cheap that way, mimi nina uhakika ni walimu peke yao (kwa wingi) ambao huhitimu shule na kubak nyumbani, et tunasubir ajira, hi inawafanya mdharauliwe, muonekane hamna mbinu mbadala, wengine wanasema et mlifaulu kias kidogo(not with flying colors-majority) so u deserv al those hurdles... why dont u prove them wrong? ni ushauri tu lakni, najua kuna watakaotoka mapovu apa lakini .. admiting the mistake is one way 4ward to correct it!

haupo sawa unaposema wapo nyumbani, kati ya kada inayokimbiwa na wasomi wengi ni elimu, wengi wamejiajiri au wamechepukia kwenye ajira nyingine zinazolipa, kwa ushahidi kidogo tu hata advanced schools nyingine za mijini kabisa hazijitoshelezi kwa waalimu !!! je huko vijijini hali ikoje? Siyo kwamba hamna waalimu wenye BSc/BA wanahitimu kila mwaka ila kutokana na masilahi duni wanatafuta pa kutokea. kwa sasa hapa nchini karibia ya vyuo vikuu vyote vya serikali vinazalisha waalimu anzia na udsm, sua, duce na ninasikia hata mzumbe , udom, st augustine . Usiandike tu kwa vile una uhuru wa kufanya hivyo kuajiajiri kwa mtoto wa masikini aliyezaliwa , kulelewa, na kukuzwa kwenye tembe bila kusahau kusomeshwa kwa baba kukopa kila mahala kwa mpita njia kijijini siyo rahisi kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom