Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Kutolea povu hoja kama hii?Kwamba bado ajira hazijatoka, ndo wanavoambiana walimu waliohitimu masomo yao ya shahada za ualimu huko mtaani, wenyewe wanaziita BA au BSc.AJIRA..miezi nenda rudi , ajira bado, mtu mzima mindevu mpaka unyagoni bado linakula kwa mama et ajira bado, u should change ur mindset guys, ndo mana wanawalipa kidogo ukilnganisha na wengine, hata mapolis wamewazidi, tafteni mambo mengine ya kufanya wawatafute wao.. dont b cheap that way, mimi nina uhakika ni walimu peke yao (kwa wingi) ambao huhitimu shule na kubak nyumbani, et tunasubir ajira, hi inawafanya mdharauliwe, muonekane hamna mbinu mbadala, wengine wanasema et mlifaulu kias kidogo(not with flying colors-majority) so u deserv al those hurdles... why dont u prove them wrong? ni ushauri tu lakni, najua kuna watakaotoka mapovu apa lakini .. admiting the mistake is one way 4ward to correct it!
Thread hii ya elimu kuna tatizo gani kwa walimu kuulizia?We mwenyewe unaonekana kubaka thread au ni jealous kwenye fani hii?Kama wewe unazo usiwadharau wasionazo maana aliyekupa wewe ndo alio wanyima wengine,so usiwe mabega juu na kwatolea mapovu walimu tarajiwa wenye hamu ya kwenda kulitumikia taifa kwa huo mshahara uliouita mdogo kwako,japo kwao utawasitiri.
Hizo dharau zako zinaashiria "maskini akipata ------ hulia mbwata"