Waalimu wanasabisha wenyewe wadharauliwe!!

Waalimu wanasabisha wenyewe wadharauliwe!!

Fortilo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
5,807
Reaction score
17,416
Kwamba bado ajira hazijatoka, ndo wanavoambiana walimu waliohitimu masomo yao ya shahada za ualimu huko mtaani, wenyewe wanaziita BA au BSc.AJIRA..miezi nenda rudi , ajira bado, mtu mzima mindevu mpaka unyagoni bado linakula kwa mama et ajira bado, u should change ur mindset guys, ndo mana wanawalipa kidogo ukilnganisha na wengine, hata mapolis wamewazidi, tafteni mambo mengine ya kufanya wawatafute wao.. dont b cheap that way, mimi nina uhakika ni walimu peke yao (kwa wingi) ambao huhitimu shule na kubak nyumbani, et tunasubir ajira, hi inawafanya mdharauliwe, muonekane hamna mbinu mbadala, wengine wanasema et mlifaulu kias kidogo(not with flying colors-majority) so u deserv al those hurdles... why dont u prove them wrong? ni ushauri tu lakni, najua kuna watakaotoka mapovu apa lakini .. admiting the mistake is one way 4ward to correct it!
 
Mitaji. Na ukiangalia sana walio nafasi za juu kwene serikali na mashirika ni walimu tena walio jiendeleza. Hivyo huku kwene ajira ni starter tu.
 
Ushauri mzuri, tatizo umeambatana na kashfa na dharau!
mkuu ndala hata dawa zina side effects!!! samahani kama imekukwaza kwa namna moja ama nyingine, lakini inauma kuona vjana wenzako wanasubiri mtu ambae hawana ahad nae.. we kila mhitimu huko mtaani angekaa kusubiri ajira pangetoshea kwel?
 
Kama kuelimishana ndo huku mbona wadada hujazungumzia, umesema midume yenye ndevu mbona hujasema midada yenye matiti?KWELI NDO YALE YALE MTU AKIWA TAJIRI ANAJIONA YEYE WA TOFAUT NA MASKINI mi nilifikiri utawaelimisha vjana wenzako namna ya kukabiliana na maisha ya mtaan badala yake uwiiiiii
 
Wewe mwelevu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kwamba bado ajira hazijatoka, ndo wanavoambiana walimu waliohitimu masomo yao ya shahada za ualimu huko mtaani, wenyewe wanaziita BA au BSc.AJIRA..miezi nenda rudi , ajira bado, mtu mzima mindevu mpaka unyagoni bado linakula kwa mama et ajira bado, u should change ur mindset guys, ndo mana wanawalipa kidogo ukilnganisha na wengine, hata mapolis wamewazidi, tafteni mambo mengine ya kufanya wawatafute wao.. dont b cheap that way, mimi nina uhakika ni walimu peke yao (kwa wingi) ambao huhitimu shule na kubak nyumbani, et tunasubir ajira, hi inawafanya mdharauliwe, muonekane hamna mbinu mbadala, wengine wanasema et mlifaulu kias kidogo(not with flying colors-majority) so u deserv al those hurdles... why dont u prove them wrong? ni ushauri tu lakni, najua kuna watakaotoka mapovu apa lakini .. admiting the mistake is one way 4ward to correct it!

MIRISHO usinisumbue, natafuta mkarumani
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mkuu serikali inaamini kuwa UALIMU ni taaluma ya watu WALIOKOSA nafasi ya kuingia taaluma nyingine.......
 
Daah! wote 2kiwa mapolice,madaktar na wngneo nan atakufundshia watoto wako na wadogo zako? fikir kwanza bro kabla hujalo
 
Ualimu ni mzuri, hasa ukizingatia maadili na hasa ukiipenda kazi hata ikiwa unapita kwenda kwenye field nyingine. tatizo lipo kwa vijana wa sasa wanachojidanganya kuwa kufanyakazi serikalini kunasecurity.... huwa nauliza security hiyo ya nini hasa? hawa wezikujaribu kabisa..... ni ujinga mtupu!
 
Ualimu hauna future ila ni starting point kuelekea kwenye mambo mengine.Private school nyingi za bongo zinazingua tena sana kuhusu mshahara.ni private chache ambazo zinalipa vzr.So bora uelekee serikalini then ufanye mikakati ya kuchomoka kwa kusoma vitu vingine.
 
bado suala la kuwa aliyefel ni mwalimu bado ni hoja ambazo sio za mtu mwenye akil timamu fanya reseach chukua mwanafunz aliyepa dvs 4 point 30 mpeleke cba au vyuo vingine vya biashara hawezi kukosa nafasi au mchukue huyo huyo kaombe ualimu angalia je?wapi atapata nafas kwa njia hiyo utafaham je walimu ndo waliofeli?
 
ila hata huu nao ni mtazamo wako kama wasomi wengine. ni bora kuongea kuliko kukaa kimya, lakini kumbuka kama unaongea think twice zingine ni siasa.cheki jinsi nchi ilivyo na jamii zake zilivyo,kujiajili xawa ila mtaji unapatikana wap!!?i,,mwalimu huyu ajishughulishe na nini???kama kulima amelima mpaka mguu umechanika,, na kusema kudharauliwa nao ni mtazamo wako tu mjomba ila miheshima kibao inapatikana kwa walimu
 
mkuu bornsave cio kila ki2 kinaitaj direct cash, kunakomfanya m2 adharauliwe cio rangi wala wala mahal anapotoka, bali matendo yake. nakubaliana na wewe ualimu ni kaz ya heshima, lakni walimu(weng c wote, mana nimewah fanya i kaz) wamejiridhikia, kulialia mara cjui marking, cjui transport, they dont want to thk outsid the box, naxema ukwel kabisa, mf. udsm, duce, muce.. walimu weng wakike wakfka 3rd yr ni wajawazito.. et wana uhakika wa ajira. najua weng imewauma mana cjaweka minof. ukwel mchungu sana.. wasaidieni wabadilike..hakuna mbinu, hata uyo mukoba nae bure!
 
hamna shida mkuu,unaloliongea na mm nimeliona xana ktk hiz college za edc,,naona ww ni mdau mzur wa elimu katika nchi yetu, sema walimu wafanye kaz gani mbadala kama hata hizo za marking wakuu wa shule wanazibania na kuwapa wale wawapendao!!now even outside the box needs some cash, in our country bwana everythng goes wc cash,,nimekusoma sana ndugu mirisho pm
 
Ualimu ni kazi kama zilivyo kazi nyingine si kweli kwamba kazi ya ualimu inafanywa na watu wasiokuwa wazuri kimasomo, ualimu ni kazi ngumu na inahitaji akili nyingi sana. Kama umeingia kwa kulazimishwa basi kazi hiyo itakuwia ngumu. Kuna mchangiaji hapa kasema unatakiwa kuifanya kazi hii kama stepping stone wakati ukisubiri kusomea kazi nyingine.

Kubadilisha fani si kitu kibaya ila si kweli kwamba watu wote wasiokuwa walimu wana maisha mazuri. Ualimu ni kazi inayoweza kukufanya huishi maisha mazuri au ya kawaida.

Zingatia kazi yako ifanye kwa ustadi mkubwa malipo utayaona baadaye. Mtoa hoja alitakiwa kuwaasa vijana wote wala si walimu tu, kwamba dunia ya leo si ya kukaa na kubweteka ukisubiri kuolewa au kuajiriwa na serikali. Chachalika na ujaribu kutumia kila aina ya utaalamu ulionao kuendesha maisha yako. Try to explore whatever opportunities for your survival
 
Back
Top Bottom