Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Kwa mara ya kwanza napost ndani ya jukwaa hili,,wenyeji hope mko poa kabisa
Sifa ya wanaume ni misimamo,kama mwanaume hana msimamo basi kuna shida pahala,mwanaume akisema jambo linatakiwa liwe hivyo jana leo na kesho,kwahiyo wanaume wenye misimamo mara nyingi huwa wakweli na hao ndio wa kuaminiwa
Kwahiyo madam kama unataka kuhang out na mwamba basi chagua mwamba mwenye misimamo,,mwanaume mwenye msimamo utaona hata huwa habadilishi avator yake,hizi ni small details ambazo ni muhimu sana
Tuishi maisha marefu miamba wote ambao avator zetu tangu tuziweke zipo vile vile kwani inaonyesha tuna misimamo daima
Mwanamke ni mtu au kiumbe ambaye misimamo ni sifuri,ndio maana anaweza kupewa kila kitu lakini akaongezwa kitunguu au nyanya na muuza genge akaona anapendwa na hivyo kuamua kumbless muuza genge
Kwahiyo ni kawaida hata madam zetu kubadilisha avator zao kwasababu ndio maumbile yao,,sasa ukikutana na mwanamke ambaye hajawahi kubadilisha avator yake basi ujue huyo ana misimamo yake,,kwahiyo mwamba kama una hang out na mtu huyu basi uwe na akili kubwa
Lakini ieleweke hapa si kila mwanamke asiyebadilisha avator ana hulka hiyo wengine ni maamuzi yao tu
Haya ni maoni ya mwandishi na si lazima yawe yana ukweli asilimia mia moja
Ni hayo tu!