Waamuzi dhidi ya mechi za Simba

Hiyo mikono ya mchezaji ilishazidi, kanout ameonekana katika mkimbio,kabla ya mpira kupigwa tayari walikua offside watu wanne, hao ndio waliomblock kanout asimark huo mpira. Acheni ushabiki wa chuki kwa Simba mtaumia.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ni kuwa lilikuwa na watu wengi wa Berkane katika offside position mpaka mshika kibandara akahisi kuwa mmoja Kati ya wale ndiye kapiga kichwa.
 
Ahsante kwa ushauri mzuri
[emoji23][emoji23]
Mkuu mi si Simba ila lile halikuwa goli, offside ya watu wanne unaita goli acha kunywa mataputapu uone vizuri.
 
Afadhali umempa elimu. Hata kama aliathirika kwa maradhi ya utotoni....ataanza kuelewa
 
😂😂
Mkuu mi si Simba ila lile halikuwa goli, offside ya watu wanne unaita goli acha kunywa mataputapu uone vizuri.
Watu wa 4 hahahaha wakati mfungaji alikuwa nyuma ya mabeki wa simba hao watu wa 4 wametoka wapi?
 
Anyway inaweza kuwa offside ila unawezaj kumlaumu mwamuzi pale.. very tight one, hakuna VAR..! Pia tusisahau kuwa waarabu Ndio wanufaika wakuu wa maamuz hovyo ! Timu zetu zimekua zikionewa sana na hawa watu so Ukiona wanalalamika ujue simba sio timu ndogo tena! they are on another level ukiongelea mashindano ya kimataifa!
 
Wivu umekujaa hadi kwenye koo. Ulidhani na kuombea Simba wafungwe siyo. Simba ni level nyingine kitaifa na kimataifa. Ngurumo zake huwa zinatetemesha mbingu na ulimwengu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…