Hiyo mikono ya mchezaji ilishazidi, kanout ameonekana katika mkimbio,kabla ya mpira kupigwa tayari walikua offside watu wanne, hao ndio waliomblock kanout asimark huo mpira. Acheni ushabiki wa chuki kwa Simba mtaumia.Aliyefunga ni huyo aliyeoneshwa mshale, angalia alipo na alipokuwepo Kanoute. Hao wegine hawakugusa mpira. Halafu kama wanaadhibiwa kwa kuuingilia mchezo vipi Kagere aliyeuruka mpira je hakuingilia mchezo wakati akiwa yupo kwenye nafasi ya kuotea (offside position)View attachment 2149224
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app