Waamuzi dhidi ya mechi za Simba

Kwenye muda wa nyongeza ndo nimewaza sana. Mpira umesimama sana afu zikaongezwa dakika 4, Ngoja tuache tu
 
So makosa ya mechi ya Liverpool na Chelsea yanahalalisha makosa ya mechi nyingine?
 
Wewe huelewi kwasababu una kichwa kigumu sana. Eti unaleta hoja ya watu wanne kuotea. Daaaah tunakoseana heshima sana na majuha
[emoji23] Msinichoshe Mambo yao tuwaachie wao walete var
 
Lkn wewe huoni kama kuna positive and strong relationship btn Ushindi wa Simba na Maamuzi yenye utata (especially in recent days)???
Hapa ndani mnalalamikia marefa as if timu zingine hazipati faida au hasara kutokana na makosa ya waamuzi.

Ya ndani yamewashinda sasa mmehamia waamuzi wa kimataifa
 
Wewe huelewi kwasababu una kichwa kigumu sana. Eti unaleta hoja ya watu wanne kuotea. Daaaah tunakoseana heshima sana na majuha
Mkuu tusibishane we jua sio offside mi najua ni offside.. haitupi hela na haitunyimi hela.
 
Lkn kwa ushauri tu. Fuatilia mpira ujifunze. Usijadili jambo ambalo hulielewi vzr
Mkuu tusibishane we jua sio offside mi najua ni offside.. haitupi hela na haitunyimi hela.
 
Timu Yako imeonewa? Ww ni muarabu? Unahangaika nn na Simba ya watu wakati timu Yako na mbabe wake wote walitokewa zamani, we kama huwezi kuangalia burdani kaangalie taarabu huko
 
... Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa
mliahidi kuyafikisha malalamiko kwa Mama alipokuwa ameenda ziarani Ulaya, sasa amerudi hamtaki kwenda, mnatupigia tu kelele humu. Sasa mnaona yanazidi kuongezeka, na ya CAF yanajazia humo humo
 
Hii hoja kwamba ni goal halal kwa vile aliyefunga hakuwa offside naishangaa sana.
Nilivyowaona mimi wale jamaa
1. walikuwa kwenye nafasi ya kuotea
2. wote walijishughuli na mpira
KWA HIYO
Ni clear offside.
 
Kwenye muda wa nyongeza ndo nimewaza sana. Mpira umesimama sana afu zikaongezwa dakika 4, Ngoja tuache tu
Na mimi nimeliona hilo, refa alipunguza muda. Ilibidi afidie muda halisi uliopotea ili wale Berkane wafungwe goli la pili, lakini ndo hivyo akamaliza mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…