- Thread starter
- #61
Kwenye muda wa nyongeza ndo nimewaza sana. Mpira umesimama sana afu zikaongezwa dakika 4, Ngoja tuache tu
Mm shabiki wa Simba kindaki ndaki ila ile ni penalty na lile ni goli wala co offside, ni kweli kuna wachezaji wa Berkane walikuwa offside lkn aliyefunga alikuwa nyuma ya mchezaji wetu, yani tumebebwa wazi wazi kabisa.
Alafu muda wa nyongeza pia tumebebwa, mpira ulisimama kwa takribani dk 6 lkn refa akaongeza dk 4 alafu ndani ya hzo dk 4 zimechezwa mbili, tunamshukuru refa na waamuzi kwa ujumla, Simba nguvumoya.