kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kutoka kwa mtu wa ndani kabisa ya clubu moja kumbwa kwenye VPL ameniambia kuwa club imetenga fungu kubwa kwaajili ya kuhakikisha timu hiyo inautwaa ubingwa wa VPL. Pesa hizo zitakwenda kwa waamuzi na wachezaji wa timu pinzani.
Baada ya waamuzi kupokea fungu hilo ambalo ni vigumu sana kulikataa watahakikisha kuwa timu hiyo inapatiwa kila fursa ya nafuu itakayojitokeza kwenye mechi na kwenye ligi.
Wachezaji wakishazirambishwa hizo pesa ama watacheza chini ya kiwango au watasingizia wanaumwa kwa muda mrefu au kwenye mechi muhimu.
Kama nikilazimika kukitaja chanzo changu cha habari nitalazimika kufanya hivyo ili soka letu lichezwe uwanjani tu ili tupate wawakilishi halali na bora na kuepusha janjajanja.