ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Simba wamecheza ngoma zote za Yanga, kadri mdundo wa Yanga alivopiga Simba wametii na kufanya kama Yanga alivotaka
Yanga wakilalamikia waamuzi na kamati ya waamuzi
Walipeleka hilo takwa TFF na Ikulu na kuwasilisha kuwa ili wacheze derby lazima tarehe ya derby ibadilishwe na waamuzi watoke nje ya nchi
Na hivi Leo TFF na bodi ya ligi wametii takwa la Yanga, waamuzi 4 kutoka Egypt watachezesha derby na Sasa haki itapatikana Kwa 💯
Viongozi wa Simba waliishia kula korosho na kukubali matakwa ya Yanga, kwakuwa wao hawakuwa na hoja ya kuweka mezani
Hakuna kenge yeyote wa kugomea mechi na korosho na juice za Ikulu alikula
Leteni timu 25 June Yanga tufurahi, kipigo laZima kiwahusu
Ubingwa utanoga Yanga akimfunga mtani
Parade la ubingwa mwaka huu itakuwa ni hatari
YANGA bingwa