mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Mi Yanga, Ila mechi ni 50/50 , si mchezo.nimefurahi marefa kutoka nje maana hawa marefa wetu
Na Parade litaazia KOLO'S HQ kuelekea TWIGA'S HQ.Simba wamecheza ngoma zote za Yanga, kadri mdundo wa Yanga alivopiga Simba wametii na kufanya kama Yanga alivotaka
Yanga wakilalamikia waamuzi na kamati ya waamuzi
Walipeleka hilo takwa TFF na Ikulu na kuwasilisha kuwa ili wacheze derby lazima tarehe ya derby ibadilishwe na waamuzi watoke nje ya nchi
Na hivi Leo TFF na bodi ya ligi wametii takwa la Yanga, waamuzi 4 kutoka Egypt watachezesha derby na Sasa haki itapatikana Kwa 💯
Viongozi wa Simba waliishia kula korosho na kukubali matakwa ya Yanga, kwakuwa wao hawakuwa na hoja ya kuweka mezani
Hakuna kenge yeyote wa kugomea mechi na korosho na juice za Ikulu alikula
Leteni timu 25 June Yanga tufurahi, kipigo laZima kiwahusu
Ubingwa utanoga Yanga akimfunga mtani
Parade la ubingwa mwaka huu itakuwa ni hatari
YANGA bingwa
labda mwamuzi akiwa tatu malogo ndo penati itapatikana.Mapema tu,lazima mkae,mkimfanyia faul za kijingajinga tu red cardhizooooo kama zile tikitaka za kina Baca
Mkicheza kimihemko tu na miguvu guvu bila akili waamuzi wa gemu sio kina Kayoko,wale watakaochia upuuzi,wanalala penati tu.
Mbona maji mtaita mmaaa
Hakuna shida. Ifikie mahali tukubali ligi iishe. Kwanza waamuzi wa nje ni faida zaidi kwa Simba kuliko Yanga. Au umesahau alichofanya Kayoko kwenye dabi ya mzunguko wa kwanza? Kwa hiyo kama ni takwa la Yanga ila linaisaidia Simba, kwa nini unataka Simba walipinge?Simba wamecheza ngoma zote za Yanga, kadri mdundo wa Yanga alivopiga Simba wametii na kufanya kama Yanga alivotaka
Yanga wakilalamikia waamuzi na kamati ya waamuzi
Walipeleka hilo takwa TFF na Ikulu na kuwasilisha kuwa ili wacheze derby lazima tarehe ya derby ibadilishwe na waamuzi watoke nje ya nchi
Na hivi Leo TFF na bodi ya ligi wametii takwa la Yanga, waamuzi 4 kutoka Egypt watachezesha derby na Sasa haki itapatikana Kwa 💯
Viongozi wa Simba waliishia kula korosho na kukubali matakwa ya Yanga, kwakuwa wao hawakuwa na hoja ya kuweka mezani
Hakuna kenge yeyote wa kugomea mechi na korosho na juice za Ikulu alikula
Leteni timu 25 June Yanga tufurahi, kipigo laZima kiwahusu
Ubingwa utanoga Yanga akimfunga mtani
Parade la ubingwa mwaka huu itakuwa ni hatari
YANGA bingwa
Hata kwa hao Wamisri, penati itapatikana. Ukicheza faulo ndani ya 18, adhabu yake ni penati, sio upendeleo kwa wapinzanilabda mwamuzi akiwa tatu malogo ndo penati itapatikana.
hao wamisri sio akina tatu malogo wanaokataa magoli ya halali kwa kisingizio cha offside,nakumbuka game ya yanga dhidi ya simba ngao ya jamii tanga magoli mawili kama sio moja lilikataliwa wakati mchezaji akiwa onside kabisa.Hata kwa hao Wamisri, penati itapatikana. Ukicheza faulo ndani ya 18, adhabu yake ni penati, sio upendeleo kwa wapinzani
Yaani hata magoli machache hukumbuki kama ni moja au mawili?hao wamisri sio akina tatu malogo wanaokataa magoli ya halali kwa kisingizio cha offside,nakumbuka game ya yanga dhidi ya simba ngao ya jamii tanga magoli mawili kama sio moja lilikataliwa wakati mchezaji akiwa onside kabisa.
Lazma tuwekane sawa,TFF na bodi ya league wamefeli pakubwa kuleta waamuzi wa nje,ARAJIGA alikuwa anatosha.
Sawa,msiruke misarakasi yenu halafu mtegemee refa akae kimiya,hamkawii kwenda FIFA nyielabda mwamuzi akiwa tatu malogo ndo penati itapatikana.
We' ni mmoja wa MA TOPOLO, wapendao sana sifa za kijinga! Kuja hao marefa kutoka nje ya Tanzania, si Simba wala Yanga, walioleta hilo wazo kwenye mchezo huu!Simba wamecheza ngoma zote za Yanga, kadri mdundo wa Yanga alivopiga Simba wametii na kufanya kama Yanga alivotaka
Yanga wakilalamikia waamuzi na kamati ya waamuzi
Walipeleka hilo takwa TFF na Ikulu na kuwasilisha kuwa ili wacheze derby lazima tarehe ya derby ibadilishwe na waamuzi watoke nje ya nchi
Na hivi Leo TFF na bodi ya ligi wametii takwa la Yanga, waamuzi 4 kutoka Egypt watachezesha derby na Sasa haki itapatikana Kwa [emoji817]
Viongozi wa Simba waliishia kula korosho na kukubali matakwa ya Yanga, kwakuwa wao hawakuwa na hoja ya kuweka mezani
Hakuna kenge yeyote wa kugomea mechi na korosho na juice za Ikulu alikula
Leteni timu 25 June Yanga tufurahi, kipigo laZima kiwahusu
Ubingwa utanoga Yanga akimfunga mtani
Parade la ubingwa mwaka huu itakuwa ni hatari
YANGA bingwa
hamna kitu kama hicho mkuu!Sawa,msiruke misarakasi yenu halafu mtegemee refa akae kimiya,hamkawii kwenda FIFA nyie
😂Simba wamecheza ngoma zote za Yanga, kadri mdundo wa Yanga alivopiga Simba wametii na kufanya kama Yanga alivotaka