Waamuzi wa kigeni kuchezesha Derby, ni Moja kati ya takwa la Yanga

Na Parade litaazia KOLO'S HQ kuelekea TWIGA'S HQ.
 
labda mwamuzi akiwa tatu malogo ndo penati itapatikana.
 
Hakuna shida. Ifikie mahali tukubali ligi iishe. Kwanza waamuzi wa nje ni faida zaidi kwa Simba kuliko Yanga. Au umesahau alichofanya Kayoko kwenye dabi ya mzunguko wa kwanza? Kwa hiyo kama ni takwa la Yanga ila linaisaidia Simba, kwa nini unataka Simba walipinge?
 
labda mwamuzi akiwa tatu malogo ndo penati itapatikana.
Hata kwa hao Wamisri, penati itapatikana. Ukicheza faulo ndani ya 18, adhabu yake ni penati, sio upendeleo kwa wapinzani
 
Hata kwa hao Wamisri, penati itapatikana. Ukicheza faulo ndani ya 18, adhabu yake ni penati, sio upendeleo kwa wapinzani
hao wamisri sio akina tatu malogo wanaokataa magoli ya halali kwa kisingizio cha offside,nakumbuka game ya yanga dhidi ya simba ngao ya jamii tanga magoli mawili kama sio moja lilikataliwa wakati mchezaji akiwa onside kabisa.
Lazma tuwekane sawa,TFF na bodi ya league wamefeli pakubwa kuleta waamuzi wa nje,ARAJIGA alikuwa anatosha.
 
Yaani hata magoli machache hukumbuki kama ni moja au mawili?
Acha wachezeshe Wamisri, Arajiga awe mtazamaji. Acha boli litembee
 
We' ni mmoja wa MA TOPOLO, wapendao sana sifa za kijinga! Kuja hao marefa kutoka nje ya Tanzania, si Simba wala Yanga, walioleta hilo wazo kwenye mchezo huu!
 
😂
Wanalalamikia takwa lao?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…