Waamuzi wa Leo hata Uchaguzi tukileta Wamisri CDM hampati hata kiti kimoja

anthopody

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2024
Posts
262
Reaction score
183
Jamaa wamenyooka kama rula,pira limepigwa hakuna mbeleko sijui mzee sasa itakuwaje,Simba kachezea kipigo.

Hawa hata tukiwaleta wawe wasimamizi wa UCHAGUZI CDM mjiandae kutopata hata kiti kimoja hawana kulia Lia,hawataki kudeka piga kazi kama mama anavopiga kazi,kigongo busisi,bwawa la Mwl Nyerere,SGR,umeme hadi kitongojini,maji mwanza hadi Dodoma,Mikopo ya elimu ya juu,barabara sasa Kila wilaya,,huduma Bora za afya.

Yaani hatari hakuna kutekana na kuzua taharuki ohhh Viola katekwa kumbe yupo anadanga,amewaaibisha sana.

Mmezoea kulia Lia na kusema kwa mabeberu mnaachiwa viti vinne ,kumi sasa mwaka huu ni mwendo wa Wamisri mbwai iwe mbwai hamtoboi(kwa sauti ya mbunge bwege)
 
Yaani hatari hakuna kutekana na kuzuaha taharuki ohhh Viola katekwa kumbe yupo anadanga,amewaaibisha sana.
Hapati mama yako mwenye ki3mbe kama ulimi wa nyoka
 
1750870172736.png
]
 
Ccm kwenye uchaguzi huru hawezi kushinda hata siku Moja na wao wanajua ndo maana wanafanya chaguzi za mabavu

Mimi ni pro magufuli kabisa(namkubali Sana) ila siwezi kumsamehe Kwa kosa la kutuletea bunge la kijinga kuonekana tangia tupate uhuru, never!!!

Magufuli ni mtu alikua anaamini anaweza kuongoza nchi Kwa akili zake Peke yake, akaona alete bunge dhaifu ila aweze kulicontrol afanye anavyotaka, Mungu nae huyu, akamchukua!!! Akaja Samia tena anasimamiwa la bunge la ovyo kuwahi kutokea, ndo wametufikisha hapa!!!!

4 years tunakopa trillion 50, nusu ya tulichokopa miaka 60 baada ya uhuru..... Something is off!!!! Sio kwamba simpendi Samia, she is just not capable, and nothing she can either do about that!!!
 
Simba sio watu wakulalamika wanakubali matokeo hawana shida ila ile penalty pacome alinyanyua mguu na ilikuwa dangerous play na refa kuna matukio aliwabeba yanga ila all in all yanga walikuwa na game nzuri.
 
Jamaa wamenyooka kama rula,pira limepigwa hakuna mbeleko sijui mzee sasa itakuwaje,Simba kachezea kipigo.

Hawa hata tukiwaleta wawe wasimamizi wa UCHAGUZI CDM mjiandae kutopata hata kiti kimoja hawana kulia Lia,hawataki kudeka piga kazi kama mama anavopiga kazi,kigongo busisi,bwawa la Mwl Nyerere,SGR,umeme hadi kitongojini,maji mwanza hadi Dodoma,Mikopo ya elimu ya juu,barabara sasa Kila wilaya,,huduma Bora za afya.

Yaani hatari hakuna kutekana na kuzua taharuki ohhh Viola katekwa kumbe yupo anadanga,amewaaibisha sana.

Mmezoea kulia Lia na kusema kwa mabeberu mnaachiwa viti vinne ,kumi sasa mwaka huu ni mwendo wa Wamisri mbwai iwe mbwai hamtoboi(kwa sauti ya mbunge bwege)
Lengo la uchaguzi huru siyo kwamba CHADEMA washinde.

Hapana.

Lengo ni wananchi wachague watu wanaowataka kutoka chama chochote.
 
Ccm kwenye uchaguzi huru hawezi kushinda hata siku Moja na wao wanajua ndo maana wanafanya chaguzi za mabavu
Kaka kuifungua nchi kunahtaji maamuzi magumu sana,vijana hawapandi magari kuja kuchaji simu mjini,vijijini majenereta hayaungurumi sasa,fursa zilizopo mjini sasa zinawezeshwa vijijini nani kama SSH,kilimo kinafunguliwa,mifugo n.k,tumia fursa zilizopo kujinufaisha,usimeze Kila unachopewa vingine ni simu kwa ubongo wako na ustawi wako, mikopo kwa vikundi inatoka.

Nchi imefunguka Lima mikese,Lima itilima,Lima nachingwea MAZAO yatafika popote nchini,zalisha kahama,zalisha bidhaa kwa msisi bidhaa zako zitafika,shule Bora Kila KATA zipo. Endelea kula sumu kaka
 
This is a joke right?
 
Lengo la uchaguzi huru sjyo kwamba CHADEMA washinde.

Hapana.

Lengo ni wananchi wachague watu wanaowataka kutoka chama chochote.
Shida yenu CCM ikichagua watu wake mnaanza kuwapinga mbona wao Huwa hawapingi wa kwenu
 
Kaka kuifungua nchi kunahtaji maamuzi magumu sana,vijana hawapandi magari kuja kuchaji simu mjini,vijijini majenereta hayaungurumi sasa,fursa zilizopo mjini sasa zinawezeshwa vijijini nani kama SSH,kilimo kinafunguliwa,mifugo n.k,tumia fursa zilizopo kujinufaisha,usimeze Kila unachopewa vingine ni simu kwa ubongo wako na ustawi wako, mikopo kwa vikundi inatoka.

Nchi imefunguka Lima mikese,Lima itilima,Lima nachingwea MAZAO yatafika popote nchini,zalisha kahama,zalisha bidhaa kwa msisi bidhaa zako zitafika,shule Bora Kila KATA zipo. Endelea kula sumu kaka
CHAWA
 
Back
Top Bottom