slip way JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 688 Reaction score 701 Jun 25, 2025 #21 anthopody said: Mfia chama wa CDM upo kupe Click to expand... Mambo soka unaleta uchwa uchwara
P patrickk JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 745 Reaction score 5,931 Jun 25, 2025 #22 anthopody said: It's not a joker Click to expand... Basi nishaelewa naongea na mtu wa aina gani
M Mpwimbe JF-Expert Member Joined Oct 13, 2023 Posts 6,342 Reaction score 13,745 Jun 25, 2025 #23 anthopody said: Shida yenu CCM ikichagua watu wake mnaanza kuwapinga mbona wao Huwa hawapingi wa kwenu Click to expand... Kuwapinga vipi? Halafu mimi ni mwananchi, siyo msukule wa mwanasiasa yoyote.
anthopody said: Shida yenu CCM ikichagua watu wake mnaanza kuwapinga mbona wao Huwa hawapingi wa kwenu Click to expand... Kuwapinga vipi? Halafu mimi ni mwananchi, siyo msukule wa mwanasiasa yoyote.