ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Waamuzi wa Zanzibar wanatia aibu
Inaonekana wanachezesha Kwa maelekezo, yaani wameambiwa Zanzibar laZima afike final
Nimetazama mechi ya Zanzibar na Kenya ila yule mwamzi ni muhuni aisee
Amegawa red card ♦️ mbili , yellow cards 8 Kwa Kenya na kurusha ngumi😂🤣
Zanzibar wakapewa favour za kutosha
Referee aliamua kuwa harass Wakenya na kuibeba Zanzibar Heroes
Ziliongezwa dakika 15
Yaani ni ajabu dakika 15 kikubwa Ilikuwa Zanzibar ishinde
Waandaaji acheni kuandaa bingwa wa mashindano kabla ya Mashindano, mtacheza wenyewe hayo mashindano mwakani na timu haziji
Kenya wakishiriki mwakani Mapinduzi cup niite mbwa