Hiki nilijua kitatokea wakenya wenyewe kuja nilijua Hawa hawajui kitakachotokea wamebaki wabukinabe watakutana na vituko hadi wachoke
Mwakani watumie vilabu vya Zanzibar mbona hakuna shida hawana haja ya kuabisha nchi na jamii yetu dhidi ya wageni

Hizi timu zimezidi kiherehere ifike hatua hizo timu waache kuja kucheza bonanza la kipumbavu .mimi mwaka huu sijatazama hata mechi moja.Siwezi kuangalia upumbavu aise

Ni aibu tupu na fedheha kubwa kwa marefa wa zanzibar wanachofanya.Wanalazimisha ni lazima timu ya zanzibar ushinde hilo kombe,kwani ni lazima washinde?