Waamuzi wa Mapinduzi Cup, wanaibeba Zanzibar

Kifupi ni kuwa yah ni lazima washinde na watashangilia kama walivyoshangilia Jana huku Kila mpenda mpira akiona aibu
Wabukinabe kesho watapigwa red 2😥😥
 
Zilipoongezwa dakika Kenya nao walikuwa wanatafuta goli, vipi wangefunga?
 
Marefa wa kizanzibari akili zao wanazijuaga wenyewe. Kuna yule refa mwaka jana alimwita ms*$@& mchezaji wa Singida.
 
Mwaka Jana wanyaruanda walulalamika sana walipocheza na timu za Zanzibar kila wakifung wanaambiwa offside.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…