Waamuzi wa mechi ya Simba vs Tabora ni Wanachama wa Simba

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Huwa tunajiuliza kwanini Tatu Malogo, Amina Kyando hawa mabinti Huwa wanapewa mechi za Simba?

Licha ya kufanya makosa ya kujirudia lakini Huwa bodi ya ligi haikomi kuwapa michezo ya Simba
Hawa Wanachama watiifu wa Simba sports club

Pia Mzee wetu Rage japo aliwapa jina zuri Wanachama wa Simba Kwa kuwaita mbumbumbu kwenye mkutano mkuu pale ukumbi wa polisi Oystabay.
Rage ndo mlezi wa Tabora United
Kwa kifupi pale hamna mechi😅😂
 

Attachments

  • markup_1000094063.png
    906.7 KB · Views: 2
  • markup_1000094065.png
    1,020 KB · Views: 5
  • markup_1000094064.png
    1,017.2 KB · Views: 4
Waamuzi wote kama siyo simba basi ni yanga, sasa itabidi FAT wawe wanaleta marefa toka GAZA au ISRAEl
 
Kila mtu nchi hii ni simba au Yanga. Huwezi kukwepa hilo.

Ww mwenyewe Yanga. labda ushushe malaika aje awe refa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…