Waamuzi wa mechi ya Simba vs Tabora ni Wanachama wa Simba

Waamuzi wa mechi ya Simba vs Tabora ni Wanachama wa Simba

Tupo kombe la u abaya ubwela utaniuliza mwisho wa mashindano kwa nini nasema hivi
Litaje mbona unalifanya Siri😅😂😃 au una aibu ya aina ya mashindano unayoshiriki
 
Huwa tunajiuliza kwanini Tatu Malogo, Amina Kyando hawa mabinti Huwa wanapewa mechi za Simba?

Licha ya kufanya makosa ya kujirudia lakini Huwa bodi ya ligi haikomi kuwapa michezo ya Simba
Hawa Wanachama watiifu wa Simba sports club

Pia Mzee wetu Rage japo aliwapa jina zuri Wanachama wa Simba Kwa kuwaita mbumbumbu kwenye mkutano mkuu pale ukumbi wa polisi Oystabay.
Rage ndo mlezi wa Tabora United
Kwa kifupi pale hamna mechi😅😂
Nyie mngeendelea kutulia na Kayoko wenu..Simba ingekua unbeaten kama sio Kayoko
 
Huwa tunajiuliza kwanini Tatu Malogo, Amina Kyando hawa mabinti Huwa wanapewa mechi za Simba?

Licha ya kufanya makosa ya kujirudia lakini Huwa bodi ya ligi haikomi kuwapa michezo ya Simba
Hawa Wanachama watiifu wa Simba sports club

Pia Mzee wetu Rage japo aliwapa jina zuri Wanachama wa Simba Kwa kuwaita mbumbumbu kwenye mkutano mkuu pale ukumbi wa polisi Oystabay.
Rage ndo mlezi wa Tabora United
Kwa kifupi pale hamna mechi😅😂
Basi sawa tuma salamu kwa watu watatu.
 
Huu ni utopolo😆😃😂
Hiyo CAFCL neno CAF halimaanishi ni mashindano yanayosimamiwa na CAF?

Siwezi kukulaumu maana wewe siyo Jakaya au Mzee Sunday Manara.
CAFCL ni 1 au Kuna nyingine nieleweshe
 
Hawa Wanachama watiifu wa Simba sports club
Bila kuweka kadi namba zao hapa huu uzi utakuwa umeuleta huku ukiwa na msongo namna gani utapata hela ya mlo wa leo...

Tafuta hela we 🐸acha ujinga.
 
Bila kuweka kadi namba zao hapa huu uzi utakuwa umeuleta huku ukiwa na msongo namna gani utapata hela ya mlo wa leo...

Tafuta hela we 🐸acha ujinga.
Hela ninazo mrembo
Njoo nikuowe namudu kukutunza
 
Timu Bora haiwezi kucheza mechi kwenye uwanja wa nyumbani na Kwa dakika 90 ikashindwa kufunga goli hata Moja na kutolewa mashindanoni!
Kuna tofauti kubwa kati ya CAFCL ambayo Makolo msimu huu hawakuwa na hadhi ya kucheza na Yale mashindano yenu ya akina mama
 
Back
Top Bottom