Waamuzi wa mechi ya Simba vs Tabora ni Wanachama wa Simba

Waamuzi wa mechi ya Simba vs Tabora ni Wanachama wa Simba

Kesho naiona penati dk ya 90 + 7

Penati ya 17 kwenye michezo 16
Alafu makolo watakuja na usemi, haiishi mpake iishe🤣🤣
 
Huwa tunajiuliza kwanini Tatu Malogo, Amina Kyando hawa mabinti Huwa wanapewa mechi za Simba?

Licha ya kufanya makosa ya kujirudia lakini Huwa bodi ya ligi haikomi kuwapa michezo ya Simba
Hawa Wanachama watiifu wa Simba sports club

Pia Mzee wetu Rage japo aliwapa jina zuri Wanachama wa Simba Kwa kuwaita mbumbumbu kwenye mkutano mkuu pale ukumbi wa polisi Oystabay.
Rage ndo mlezi wa Tabora United
Kwa kifupi pale hamna mechi😅😂
Huwa napenda sana Mada za namna hii zinazoheshimisha JF, yaani hapa ushahidi tayari kolo watapita kimya kama hawaoni uzi,

Lengo la kolo na Chama cha Mpira mbumbumbu wabebe kombe kwa njia zote na haitotokea, kuna mechi siikumbuki Simba walifungwa jamaa kawapiga chenga mabeki akapita akapiga bao safi , Tatu akasema offside, nikaenda zangu nje kupunga hewa Buza Mpalanger kuna joto
 
😄😃
 
Back
Top Bottom