Makolo mpaka umuombe poohHatuwezi kuwa tunawasakama wanasiasa Kwa kufanya madudu serikalini wakati kuna Kada nyingine inafanya Mambo ya ovyo. Kila wiki naanzisha nyuzi za ubovu wa Waamuzi Kila baada ya mechi ya NBC PL.
Mwamuzi unayechezesha Mechi Kati ya Geita Gold na Yanga penati uliyotoa haipo kwenye sheria No.12 labda umeitoa sheria No.18 ya IFAB.
Kama wanasiasa wanajiuzulu Kwa nini nyie baada ya mechi mwamuzi asitangaze kujiuzulu?
Atapewa mkicheza na waarabu j.2Hii faulo aliyofanyiwa Kibwana ni Kadi nyekundu lakini hata njano hajatoa.
Mlipocheza na Prison, mbona mlibebwa?Hii ni kampeni inayotumia pesa za ufisadi kupitia gsm. Wameajiri na vijana waongo waongo kwa ajili ya propaganda hii ya unbeaten.
Wanajua kimataifa hawawezi hivyo inabidi watumie matukio kama haya kuwafanya mashabiki wao wenye akili ya nyani wawaone ni mabingwa wa Afrika.Ukweli wamefanikiwa kwa hilo.
Hata wakifungwa kimataifa watakumbushwa tu hizi takwimu watatulia.
Kwasababu Yanga ni unbeaten?Ligi imekuwa hovyo kabisa
Mwamuzi Martin Saanya alipokataa goli la kichwa la Mpole kwa kudai kamsukuma Kapombe ulikuja hapa kusema chochote?Ligi imekuwa hovyo kabisa
Una kumbukumbu sanaMwamuzi Martin Saanya alipokataa goli la kichwa la Mpole kwa kudai kamsukuma Kapombe ulikuja hapa kusema chochote?
Mi nadhani TFF wanatakiwa kuja na adhabu tofauti ili kuwafanya Waamuzi watafute mafunzo ya ziada kuwaboresha.In all fairness, that penalty never existed and it leaves a lot to be questioned on the capabilities and competence of the referee who officiated that match. That penalty obviously compromised the result of the match.
Halafu ni wewe huwa unatoa povu kule kwenye siasa dhidi ya rafu za CCM. Umeona sasa kumbe kitu kikiwa kinakunufaisha unafurahia haijalishi kimepatikana kwa njia halali au dhulma.Mwamuzi Martin Saanya alipokataa goli la kichwa la Mpole kwa kudai kamsukuma Kapombe ulikuja hapa kusema chochote?
Yani leo mmeaibika mpaka mmekosa cha kujitetea UtopoloJamaa waliwahi kucheza kwenye FA na timu Moja ya JKT ya kule kigoma wakawa wamefungwa refa alichezesha mbaka dk 110 Lakini ngoma ikalala hivyo hivyo.