Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hatuwezi kuwa tunawasakama wanasiasa kwa kufanya madudu serikalini wakati kuna kada nyingine inafanya mambo ya hovyo. Kila wiki naanzisha nyuzi za ubovu wa waamuzi kila baada ya mechi ya NBC PL.
Mwamuzi unayechezesha mechi kati ya Geita Gold na Yanga penati uliyotoa haipo kwenye sheria No.12, labda umeitoa sheria No.18 ya IFAB.
Kama wanasiasa wanajiuzulu kwa nini nyie baada ya mechi mwamuzi asitangaze kujiuzulu?