Ajabu baadhi ya timu ziko tayari kuwapa waamuzi U man of the match!Damu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya,
Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio uwezo Wala uwekezaji.
Damu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya,
Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio uwezo Wala uwekezaji.
Kama waamuzi wanafanya hivi kwa timu ya jeshi la JWTZ inakuwaje kwa timu kama KENGOLD na Kamsamba fc?
Bado una mentality za kishamba kuwaogopa hao wanajeshi?Damu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya,
Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio uwezo Wala uwekezaji.
Kama waamuzi wanafanya hivi kwa timu ya jeshi la JWTZ inakuwaje kwa timu kama KENGOLD na Kamsamba fc?
Siku hizi JWTZ wananidhamu sana. . Zamani walikua hawataki ujínga ujinga.Damu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya,
Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio uwezo Wala uwekezaji.
Kama waamuzi wanafanya hivi kwa timu ya jeshi la JWTZ inakuwaje kwa timu kama KENGOLD na Kamsamba fc?
Kocha wa Mashujaa amekubali kiroho safi kwamba wachezaji wao walikuwa wanafanya makosa ya kitoto ndiyo maana wameigharimu timu halafu wewe na kitambi chako usiyejua hata kupiga danadana mbili unajifanya unaujua mpira.Ramadhan Kayombo always ni man of the match...ni no 12 ya Simba
Bado una mentality za kishamba kuwaogopa hao wanajeshi?
Nikirudi kwenye mpira, tukio lipi ambalo limeamuliwa kinyume na sheria za mpira?
Mechi moja tu ama 2. Wapambane banaDamu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya,
Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio uwezo Wala uwekezaji.
Kama waamuzi wanafanya hivi kwa timu ya jeshi la JWTZ inakuwaje kwa timu kama KENGOLD na Kamsamba fc?
Ameogopa rungu la TFF kupitia bodi ya ligi. Unadhani hana akili? Moyoni anaungua sana.Kocha wa Mashujaa amekubali kiroho safi kwamba wachezaji wao walikuwa wanafanya makosa ya kitoto ndiyo maana wameigharimu timu halafu wewe na kitambi chako usiyejua hata kupiga danadana mbili unajifanya unaujua mpira.
Hili swali nimeuliza pia, hakuna anayejibu. Kwa ufupi wengi wanafuata mkumbo tu, ukimuuliza peke yake hana jibuNikirudi kwenye mpira, tukio lipi ambalo limeamuliwa kinyume na sheria za mpira?
HIlo la jana na ni tukio la mchezo wa kwanza wa ligi duniani kuwa na dakika nyingi za majeruhi ambazo hazitokani na matukio mengine nje ya uwanja.Bado una mentality za kishamba kuwaogopa hao wanajeshi?
Nikirudi kwenye mpira, tukio lipi ambalo limeamuliwa kinyume na sheria za mpira?
Ukisikia mashabiki maandazi mmojawao ni mleta mada.Hili swali nimeuliza pia, hakuna anayejibu. Kwa ufupi wengi wanafuata mkumbo tu, ukimuuliza peke yake hana jibu
GSM aliwapa hela kidogo tu hao mashujaa ghafla wakawa waoga tena akawachapa vizuri tuDamu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya,
Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio uwezo Wala uwekezaji.
Kama waamuzi wanafanya hivi kwa timu ya jeshi la JWTZ inakuwaje kwa timu kama KENGOLD na Kamsamba fc?
Nihitimishe kusema endelea kucheza rede achana na football mkuu.HIlo la jana na ni tukio la mchezo wa kwanza wa ligi duniani kuwa na dakika nyingi za majeruhi ambazo hazitokani na matukio mengine nje ya uwanja.
Jumla ya dakika za nyongeza kwa mchezo wote HT/FT zilikuwa 25' ni sawa na extra time za mechi za mtoano.
Mechi zingine zilizozidi dakika 20 zilitokana na matatizo ya kiufundi uwanjani umeme kukatika, au mvua kubwa kunyesha hadi pitch kujaa maji.
Mbona mara kibao tu makocha wanawalalamkkia waamuzi kwenye mahojiano na hawachukuliwi hatua zozote?Ameogopa rungu la TFF kupitia bodi ya ligi. Unadhani hana akili? Moyoni anaungua sana.
Ulitaka aseme ili apigwe faini au? Alijua kwamba mpira ni mchezo wa wazi Kila mtu kaona. Ni mkomavu hakutaka kuwa kama Mgunda juu ya wapuliza filimbiUkisikia mashabiki maandazi mmojawao ni mleta mada.
Kocha wa Mashujaa amekubali kiroho safi kwamba wachezaji wake wamefanya makosa ya kizembe hadi kupiteza mechi lakini linakuja jitu hata sheria moja ya mpira halijui lakini linalalamika.