Waamuzi wa TFF kiboko, wanaramba hata timu za majeshi.

Waamuzi wa TFF kiboko, wanaramba hata timu za majeshi.

Inaonekana kama alilewa harafu ni mshabiki wa Simba kindakindaki mechi zote za Simba lazima atoe matuta ya uongo..
Subiri achezeshe vile siku ingine, lazima nae atahisi kuwa Kuna watu aliwakosea. Kwanini Mashujaa wacheze playoff wakati walikuwa na uwezekano wa kukwepa playoff, wewe ni nani!!!
 
Damu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya,

Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio uwezo Wala uwekezaji.

Kama waamuzi wanafanya hivi kwa timu ya jeshi la JWTZ inakuwaje kwa timu kama KENGOLD na Kamsamba fc?
We jamaa hakuna sector Tz hapa ambayo hakuna usimba na uyanga

Hata huko majeshini wapo wanasimba na wanayanga!

Msemaji wa Mashujaa atakuwa ni mjeda maana hakuwa na malalamiko kama Utopolo
 
We jamaa hakuna sector Tz hapa ambayo hakuna usimba na uyanga

Hata huko majeshini wapo wanasimba na wanayanga!

Msemaji wa Mashujaa atakuwa ni mjeda maana hakuwa na malalamiko kama Utopolo
Unaongelea kuhusu nidhamu ya utii wa kijeahi?
 
Semaji la Mashujaa lilionesha utii na nidhamu ya kijeshi na sio malalamiko!
Jeshini siku hizi makokaps wamepumgua. Ni wasomi karibu wote. Zamani jeshini walijaa wakurya, darasa la saba na la nne tu. Kayombo kwa muda ule huenda hali yake isingezungumzika.
 
Duh, mechi ya jana ilinikumbusha mwaka 1994 pale Kambarage Stadium mwalimu wangu Bundala hadi alisahau kwake! Tulimkimbiza mpaka akapitiliza nyumbani Kwake!
Usinikumbushe uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha. Enzi hizi mechi zinacheza kituo kimoja.
Marefa wakishavurunda, wakati wa kumaliza mpira wanaenda kwenye kibendera cha Kona, wanapuliza filimbi halafu wanatoka nduki jamaa wanaanza kukimbiza.

Miaka hiyoo ya 1980s ligi daraja la pili mkoa. Bingwa wa mkoa na makamu wake wanaungana na wa Dar es Salaam na Morogoro kucheza ligi yao ya Kanda ya Mashariki.

Wenye kushika nàfasi mbili za juu waliungana na washindi 2 wa Kanda 5 zilizobaki yanaundwa makundi 3, kila kundi linatoa timu 1 zinacheza jumla ya mechi 2 kila timu. Timu mbili za kwanza ndizo zinazopanda daraja la Kwanza ( kwa sasa ni Premium League).

Nawakumbuka timu ya Mbegani ya Wilaya Bagamoyo na JKT Ruvu ya Mlandizi Wilaya ya Kibaha ndio vinara wa kuwahenyesha marefa watukutu.
 
Sasa hivi tumekuwa na vijana nyoronyoro sana, yaani refa anafanya madudu halafu anatoka salama? Enzi zetu ilikuwa haiwezekani! Refa anamaliza mechi huku anakimbia!
 
Sasa hivi tumekuwa na vijana nyoronyoro sana, yaani refa anafanya madudu halafu anatoka salama? Enzi zetu ilikuwa haiwezekani! Refa anamaliza mechi huku anakimbia!
Tulipokua kule jeshini enzi hizo service men na kuruta (recruiters) tulikuwa tunaweza kuamka usiku wa .manane kutoka kwenye mahanga yetu na kwenda kuenda operation haramu kama vile ya kumwadabisha Kayombo na kurudi hangani kulala bila OC lala CO Kuna. Majirani/wazalendo walikuwa wanaheshimu jeshi na mipaka yao.

Kayombo na TFF wanajua kuwa mkuu wa timu ya timu ya Mashujaa ni Gen. Nkunda na AmiriJeshi Mkuu Rais Samia lakini hawajali tuu wanapoga misele,
 
Back
Top Bottom