Waamuzi wa TFF kiboko, wanaramba hata timu za majeshi.

Nimekuuliza tukio lipi ambalo halikuwa limezingatia sheria za mpira wewe unani quote na picha isiyoeleweka bila kujibu swali.

Kwamba faulo imefanyika ndani ya box iwekwe free kick badala ya penalty kama sheria inavyotaka?

Kwamba mkono uzuie mpira ndani ya penalty box kwenda kwenye uelekeo wa goli halafu mwamuzi asiweke penalty?

Kwamba mpira wa kona umetengwa tayari kwa kupigwa halafu mlinda lango anaingiza mpira mwingine kwenye pitch ili azidi kupiteza muda halafu mwamuzi asitoe kadi?
 
Kwahiyo timu lengwa ikifunga bao la ushindi mpira unakwisha hapohapo, mission accomplished
 
Ulitaka aseme ili apigwe faini au? Alijua kwamba mpira ni mchezo wa wazi Kila mtu kaona. Ni mkomavu hakutaka kuwa kama Mgunda juu ya wapuliza filimbi
Mbona makocha wengi tu wanalalamika kwamba refa hakuwa fair kwenye mchezo husika na hakuna anayechukuliwa hatua?

Sasa wewe weka hapa tukio ambalo liliamuliwa kinyume na sheria 17 za mpira wa miguu.
 
Kwahiyo timu lengwa ikifunga bao la ushindi mpira unakwisha hapohapo, mission accomplished
Dakika zilizoongezwa ziliisha. Mwamuzi ana haki ya kumaliza mpira ndani ya dakika za nyongeza alizoongeza ama akaongeza muda wa dakika za nyongeza kulingana na mchezo unavyoondelea.

Kama ulipoteza muda ndani ya dakika za nyongeza maana yake mwamuzi atachezesha hadi dakika zilizoongezwa zitimie.

Dakika za nyongeza sio za kulala uwanjani ni za kuchezwa.

Dakika za nyongeza ni kwa ajili ya timu zote mbili hivyo yeyote ana nafasi ya kushinda ama kulinda alichonacho.
 
Kocha wa Mashujaa amekubali kiroho safi kwamba wachezaji wao walikuwa wanafanya makosa ya kitoto ndiyo maana wameigharimu timu halafu wewe na kitambi chako usiyejua hata kupiga danadana mbili unajifanya unaujua mpira.
Makosa ya kitoto ni kwl walikuwa Wanafanya ila magoli yote hayakuwa yakitoto hio Ndio inaitwa team strategy
 
Mbona makocha wengi tu wanalalamika kwamba refa hakuwa fair kwenye mchezo husika na hakuna anayechukuliwa hatua?

Sasa wewe weka hapa tukio ambalo liliamuliwa kinyume na sheria 17 za mpira wa miguu.
Mgunda ni mwanafamilia alipona kupewa adhabu hata baada ya kuwaita wapuliza filimbi. Angekuwa mayanga au Ali kamwe angeshapigwa rungu
 
Tatizo liko kwa rais wa tff, anatangulia ushabiki na mapenzi yake kwa simba. Wameazimia mwaka huu lazima simba ichukue ubingwa
 
Mgunda ni mwanafamilia alipona kupewa adhabu hata baada ya kuwaita wapuliza filimbi. Angekuwa mayanga au Ali kamwe angeshapigwa rungu
Endelea kukariri. Uzuri wenye akili pale utopoloni bado hawajaongezeka idadi yao ipo ile ile wawili.
 
Toa mfano wa mechi iliyoongezwa dakika 25 ya jumla kwa vipindi vyote kisha angalia sababu halafu uje hapa.
Hii ni rekodi.
 
Hili swali nimeuliza pia, hakuna anayejibu. Kwa ufupi wengi wanafuata mkumbo tu, ukimuuliza peke yake hana jibu
Asilimia 70 ya rafu hazikua sahihi na zilikua za upande mmoja.
Penalty zote mbili hazikua sahihi na hii ni tabia ya Shomari kapombe kujiangusha kwa Kila contact inayo tokea kwenye eneo la hatari ili apewe penalty tayari imeota mizizi.

Inatakiwa marefa watenda haki wa myooshe kwa kadi.
Asilimia 50 ya mechi za Simba msimu huu kuanzia za NBC mpaka za kimataifa zimegubikwa na Rushwa na ilo halina ubishi.

Eneo alilopo Simba kwenye msimamo wa NBC si halali kuwepo apo, Marefa ndio walio iweka Simba apo ilipo .

Nashauri mechi za Simba zilizo baki zisiwe zina rushwa live kwakua ni mambo ya aibu na kudhallisha Nchi katika swala la Fairplay.
Kipindi cha kwanza mpira hauku simama lakini ziliongezwa dk 8 badala ya mbili.

kipindi cha pili mpira haikustahili kuongezwa dk zaidi ya 5 lakini ziliongezwa dk 17 ayo si makosa ya kibinadamu bali ni upangaji wa Matokeo.
 
Wakati utopolo anabeba misimu mfululizo aliyejuu alikua amelala?? Acheni mentality za kijinga ,mbina huko kimataifa timu zinafanya vzr hao marefa wanahusika?
 
Huna akili hujui mpira,itoshe kusema hivyo
 
Kwahiyo timu lengwa ikifunga bao la ushindi mpira unakwisha hapohapo, mission accomplished
Hata goli lisingeingia angemaliza mpira ,au ulitaka mpira uendelee ili uzidi kumlaumu refa?
 
Tatizo liko kwa rais wa tff, anatangulia ushabiki na mapenzi yake kwa simba. Wameazimia mwaka huu lazima simba ichukue ubingwa
Ukimuuliza atakwambia analipa kisasi cha Jamal Malinzi. Nonsense
 
Wanatumia fedha nyingi kushinda mechi zao kuliko zawadi ya mshindi. Hata wafadhili na wadau wa mpira tz sote wana macho, wanayaona mauzauza haya.
 
Wakati utopolo anabeba misimu mfululizo aliyejuu alikua amelala?? Acheni mentality za kijinga ,mbina huko kimataifa timu zinafanya vzr hao marefa wanahusika?
Haifanyi vizuri, fedha, uchawi na dawa
 
Toa mfano wa mechi iliyoongezwa dakika 25 ya jumla kwa vipindi vyote kisha angalia sababu halafu uje hapa.
Hii ni rekodi.
Mimi sina tatizo na muda wa nyongeza ulioongezwa.

Wewe mwenye shida ndiyo ufanye utafiti sio kutupa sisi kazi isiyo na malipo.
 
Hata goli lisingeingia angemaliza mpira ,au ulitaka mpira uendelee ili uzidi kumlaumu refa?
Kama goli lisingefungwa zingefika dk30 nakwambia na kadi nyekundu ingetolewa ingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…