Waamuzi wa TFF kiboko, wanaramba hata timu za majeshi.

Kwani lilikuwa linacheza Jeshi?
 
Watz Kwa unafki nimewavulia kofia, ni majemedari Kwa kunafikiana.
 
Tuko hapa Isamhuyo tunawasubiri siku ya Jumatatu wafanye tena huo ujinga wao mtawasikia. Tutatumia mahakama zetu kuwahukumu!πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We unaongea nini? Waamuzi hao wanataka wapandishwe hadhi wawe na beji ya FIFA
 
Tuko hapa Isamhuyo tunawasubiri siku ya Jumatatu wafanye tena huo ujinga wao mtawasikia. Tutatumia mahakama zetu kuwahukumu!πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jeshi la siku hizi sio lile la enzi zetu bhana. Kuruta tu wengetosha kumpa kibano Kayombo na kuwa fundisho kwa wengine. Jeshi linaweka nguvu nyingi sana kwenye michezo. Ni aibu kwa timu ya jeshi kushuka daraja kiboyaboya. Ni aibu kwa CDF na hata Amirijeshi mkuu. Akina Kayombo wanafanya kosa kubwa sana kwa taifa.
 
Haifanyi vizuri, fedha, uchawi na dawa
Azam hawana fedha ,acheni kuamini ushirikina vijana wadogo ,ndio maama uto kimataifa wanafumuliwa kwa kuamini maushirikina
 
Hujajibu swali.Na kuna sheria yoyote imevunjwa yeye kua mwanachama?.kama ipo tuwekee hapa.na je alianza kua mwamuzi wa pembeni mwaka gani.
Iko kanuni ya kuongeza dk hadi hapo timu pendwa itakaposhinda? Tulishaona refa anamaliza mpira wakati washambuliaji wa timu pinzani wakielekea lango la Simba kuepusha Simba isifungwe.
 
Azam hawana fedha ,acheni kuamini ushirikina vijana wadogo ,ndio maama uto kimataifa wanafumuliwa kwa kuamini maushirikina
Azam wameshiba dini, mpira sio kila kitu kwao. Ni bango kama mabango yao mengine. Kama wataingia kwenye vitendo vichafu kama vya Simba watachafua brand ya kampuni yao na kuadhiri bidhaa zote za Azam sokoni. Unadhani azam hawana akili kama ....?
 
Azam hawana fedha ,acheni kuamini ushirikina vijana wadogo ,ndio maama uto kimataifa wanafumuliwa kwa kuamini maushirikina
Yaani kombe la shirikisho sio shindano la maana sana CAF, ndio maana wamepiga marufuku timu za champions zikishindwa huko zisiangikie shirikisho. Wanaume wako kuleee CAF champions.
 
Yaani kombe la shirikisho sio shindano la maana sana CAF, ndio maana wamepiga marufuku timu za champions zikishindwa huko zisiangikie shirikisho. Wanaume wako kuleee CAF champions.
Sio kweli berkane utamfananisha na utopolo????
 
MPira wetu una viongozi wabovu, wayoke waingie viongozi wengine wanaoweza kusimamia mpira
 
Kama zimekubali kuhongwa na gsm ajabu iko wapi
 
Tuko hapa Isamhuyo tunawasubiri siku ya Jumatatu wafanye tena huo ujinga wao mtawasikia. Tutatumia mahakama zetu kuwahukumu!πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mechi imepelekwa Tanga wewe kalagha baho subiri tuu hapo
 
Hii nchi Kila mtu ni either Simba au Yanga, hata hao mashujaa naamini Kuna baadhi ya viongozi wao walifurahi Simba kushinda, hizi timu mbili zimejenga himaya kubwa kwenye mpira wa nchi hii, unaweza kukuta mfano pamba anacheza na coast hutaona watu wakiwa busy kuangalia mpira lakini siku Moja ya hizo timu icheze na Simba au Yanga utaona umati utakavyokuwa umejaa
 
Kunywa maji upoze koo, kenge weee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…