Timu zote kwenye shirikisho ni hafifu, hata hafifu Zina madaraja yao. Kuna bidhaa hafifu lakini yenye afadhali kuliko nyingine. Hata china Kuna bidhaa nzuri kidogo zinazofanana kidogo na za UlayaSio kweli berkane utamfananisha na utopolo????
Hata timu zetu Zina udhaifu fulani, haiwezekani timu zinaonewa lakini hazi hukui hatua.MPira wetu una viongozi wabovu, wayoke waingie viongozi wengine wanaoweza kusimamia mpira
Ajabu kubwa zaidi ni pale timu za taasisi umma kama hizi zinapomilikishwa GSMDamu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya,
Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio uwezo Wala uwekezaji.
Kama waamuzi wanafanya hivi kwa timu ya jeshi la JWTZ inakuwaje kwa timu kama KENGOLD na Kamsamba fc?
utachukua hatua gani wakati ngazi za maamuzi zote zipo chini ya karia ndio maana nasema tatizo tuna kiongozi mbovu atoke atuachie ligi yetu iwe na ushindani siyo hii ya matokeo anayo karia,Hata timu zetu Zina udhaifu fulani, haiwezekani timu zinaonewa lakini hazi hukui hatua.
Majeshi Yana timu za Mashujaa, magereza, polisi, JKT, Mambo lakini zooote haziwezi kujenga hoja dhidi ya uendeshaji mbaya wa ligi.
Vitalo ya burundi ni dhaifu kuliko tabora united ila ilicheza club bingwa berkane ni bora sana afrika kuliko utopolo ambao hata topten ya CAF hawamoTimu zote kwenye shirikisho ni hafifu, hata hafifu Zina madaraja yao. Kuna bidhaa hafifu lakini yenye afadhali kuliko nyingine. Hata china Kuna bidhaa nzuri kidogo zinazofanana kidogo na za Ulaya
Kwani hakununi ya kura ya kutokuwa na Imani na kiongozi wa TFF/bodi ya ligi? Kama haipo basi msimu huu ukiisha tutaiweka. Wadau msisahau hili wakati wa kujadili kanuni za ligi.utachukua hatua gani wakati ngazi za maamuzi zote zipo chini ya karia ndio maana nasema tatizo tuna kiongozi mbovu atoke atuachie ligi yetu iwe na ushindani siyo hii ya matokeo anayo karia,
kwa yanayoendelea itabidi time ziungane ili kuhakikisha haki inatendeka uwanjani waangalia options za kisheria na kikanuni walizokuwa nazo kwa sababu tff kumeozaKwani hakununi ya kura ya kutokuwa na Imani na kiongozi wa TFF/bodi ya ligi?
Sio kweli, hata champions Kuna madaraja yake, lakini huwezi kusema bondia mbovu kwenye heavy weight ni sawa na bondia wa uzito wa unyoya, tembo dhaifu akapigane na swala dume lenye nguvu. Kanuni ni tembo kwa tembo na swala kwa swala.Vitalo ya burundi ni dhaifu kuliko tabora united ila ilicheza club bingwa berkane ni bora sana afrika kuliko utopolo ambao hata topten ya CAF hawamo
Wampange tena Jumatatu, nitakuwa naongoza kikosi cha ulinzi pale uwanjani! Mtamsikia!Jeshi la siku hizi sio lile la enzi zetu bhana. Kuruta tu wengetosha kumpa kibano Kayombo na kuwa fundisho kwa wengine. Jeshi linaweka nguvu nyingi sana kwenye michezo. Ni aibu kwa timu ya jeshi kushuka daraja kiboyaboya. Ni aibu kwa CDF na hata Amirijeshi mkuu. Akina Kayombo wanafanya kosa kubwa sana kwa taifa.
Askari wa simu hizi hawatishi hata kidogo, Kayombo (mzalendo) hana hofu yoyote, eti watamfanya nn; enzi zetu thubutuuuu!!!, angetola pale kwa mwendo wa ling'ang'a na kunyakua mpaka aseme kwanini alichezesha vile.Wampange tena Jumatatu, nitakuwa naongoza kikosi cha ulinzi pale uwanjani! Mtamsikia!
Ni Kepha Kayombo mkuuRamadhan Kayombo always ni man of the match...ni no 12 ya Simba
Duh, mechi ya jana ilinikumbusha mwaka 1994 pale Kambarage Stadium mwalimu wangu Bundala hadi alisahau kwake! Tulimkimbiza mpaka akapitiliza nyumbani Kwake!Askari wa simu hizi hawatishi hata kidogo, Kayombo (mzalendo) hana hofu yoyote, eti watamfanya nn; enzi zetu thubutuuuu!!!, angetola pale kwa mwendo wa ling'ang'a na kunyakua mpaka aseme kwanini alichezesha vile.
Hatari sana!Pale ilikuwa mpaka goli lipatikane ndio uishe
Inaonekana kama alilewa harafu ni mshabiki wa Simba kindakindaki mechi zote za Simba lazima atoe matuta ya uongo..Uchunguzi ufanywe kukua nini Kiko nyuma ya uchezeshaji ule; mapenzi, pesa au kubet?
Hawa watu wana mapenzi na simb halafu wanabet upande wa Simba ndiyo maana wakikutana na mziki wanapoteza utu kabisa!Inaonekana kama alilewa harafu ni mshabiki wa Simba kindakindaki mechi zote za Simba lazima atoe matuta ya uongo..