Waamuzi waliochezesha mchezo wa Simba vs KMC afungiwa na TFF

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Refa aliechezesha mechi ya Simba vs KMC abdalah Kambuzi amefungiwa na kuondolewa kuchezesha mechi za ligi kuu

Mechi hiyo iliyoisha kwa Simba kushinda kwa bao 2-1 , ilileta malalamiko mengi akituhumiwa kuipendelea Simba

TFFimetoa taarifa ya kuwafungia waamuzi wote 3

Inst-image-14.jpeg
 
Refa aliechezesha mechi ya Simba vs KMC abdalah Kambuzi amefungiwa na kuondolewa kuchezesha mechi za ligi kuu
Mechi hiyo iliyoisha kwa Simba kushinda kwa bao 2-1 , ilileta malalamiko mengi akituhumiwa kuipendelea Simba
TFF imetoa taarifa ya kuwafungia waamuzi wote 3View attachment 1081726
Waruhusu TAKUKURU wafanye uchunguzi.
 
Sasa hao waamuzi wa Wawili wengine wamefungiwa kwa kosa gani ??? Wakati vitu viko hadharani mwamuzi wa kati ndio alipuliza kipyengA
 
Hawa simba watawaponza sana waamuzi msimu huu! Bodi ya ligi iwafungie na hawa wahongaji
 
FAKE NEWS!
aliyeyengeneza hii taarifa kachemka, marefa wanaoboronga hujadiliwa kwa pamoja na sio ghafla kiasi hiki tena marefa waechi moja tu kana kwamba kuna dharura. Yanga tulieni dawa ipenye.
Refa aliechezesha mechi ya Simba vs KMC abdalah Kambuzi amefungiwa na kuondolewa kuchezesha mechi za ligi kuu
Mechi hiyo iliyoisha kwa Simba kushinda kwa bao 2-1 , ilileta malalamiko mengi akituhumiwa kuipendelea Simba
TFF imetoa taarifa ya kuwafungia waamuzi wote 3View attachment 1081726
 
FAKE NEWS!
aliyeyengeneza hii taarifa kachemka, marefa wanaoboronga hujadiliwa kwa pamoja na sio ghafla kiasi hiki tena marefa waechi moja tu kana kwamba kuna dharura. Yanga tulieni dawa ipenye.
Nauza yanga mbovu na dola chakavu.....
Nauza yanga mbovu na dola chakavu....
Nauza yanga mbovu na dola chakavu....
 
Back
Top Bottom