Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fake news, Azam wahanga wa hizo fake news!
Ulisahau msimu wa Mwaka juzi kuna match ilileta utata Mikoani Azam akaambiwa alete recorded dvd akagoma akasema kuwa record haipo tena hii match ilikuwa inawahusu MikiaKwani yule mchezaji hakushika? Na kwa nini azam hawana slow motion??
Na anayeamua kuwa ni pigo lA penalty ni Nani?? Ukishamjua utaishi maisha ya Raha mstarehe!Soka mchezo mgumu Sana.. Sio kila mpira unaogonga mkono ni penalty
Unachokitafuta utakipata😀😀😀😀
Kwa taarifa yako, mleta Uzi ni Mwana Simba kuliko wewehiko kikao kimekaa saa ngapi badala ya kulipa wachezaji wenu waache mgomo mnahangaika kutengeneza habari za uongo kuhusu Simba
Mbona sio wote wanaouwa mtu wanahukumiwa kunyongwa. . Huu mchezo wa waingereza mgumu Sana kuuelewaNa anayeamua kuwa ni pigo lA penalty ni Nani?? Ukishamjua utaishi maisha ya Raha mstarehe!
we unaujua usimba wangu au umekaririKw
Kwa taarifa yako, mleta Uzi ni Mwana Simba kuliko wewe
HahaaaaaTASAF Fc watakuwa wamesikia amani sasa.
Refa aliechezesha mechi ya Simba vs KMC abdalah Kambuzi amefungiwa na kuondolewa kuchezesha mechi za ligi kuu
Mechi hiyo iliyoisha kwa Simba kushinda kwa bao 2-1 , ilileta malalamiko mengi akituhumiwa kuipendelea Simba
TFFimetoa taarifa ya kuwafungia waamuzi wote 3
View attachment 1081726
Sana tena hadi kupitilizaMambumbu yamebebwa sana jana.
Tiefuefu walikaa kikao bado na masaa hata 24 hayajapitatoka mechi iishe.leo ni public holiday
www.instagram.com