barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Watu wanakataa ukweli.Kwani yule mchezaji hakushika? Na kwa nini azam hawana slow motion??
Penati 2 za simba ni penati halali ukiziangalia, na okwi hakushika mpira bali mpira ulimgonga kiunoni.