Nishaanza kukupenda aiseeSasa Simba anyanganywe zile point 3
Waruhusu TAKUKURU wafanye uchunguzi.Refa aliechezesha mechi ya Simba vs KMC abdalah Kambuzi amefungiwa na kuondolewa kuchezesha mechi za ligi kuu
Mechi hiyo iliyoisha kwa Simba kushinda kwa bao 2-1 , ilileta malalamiko mengi akituhumiwa kuipendelea Simba
TFF imetoa taarifa ya kuwafungia waamuzi wote 3View attachment 1081726
Sheria namba ngapi hiyo??Sasa Simba anyanganywe zile point 3
Refa aliechezesha mechi ya Simba vs KMC abdalah Kambuzi amefungiwa na kuondolewa kuchezesha mechi za ligi kuu
Mechi hiyo iliyoisha kwa Simba kushinda kwa bao 2-1 , ilileta malalamiko mengi akituhumiwa kuipendelea Simba
TFF imetoa taarifa ya kuwafungia waamuzi wote 3View attachment 1081726
Mtunzi wa hiki kinote kachemka vitu vya msingi.Sasa hao waamuzi wa Wawili wengine wamefungiwa kwa kosa gani ??? Wakati vitu viko hadharani mwamuzi wa kati ndio alipuliza kipyengA
Nauza yanga mbovu na dola chakavu.....Mambumbu yamebebwa sana jana.
Nauza yanga mbovu na dola chakavu.....FAKE NEWS!
aliyeyengeneza hii taarifa kachemka, marefa wanaoboronga hujadiliwa kwa pamoja na sio ghafla kiasi hiki tena marefa waechi moja tu kana kwamba kuna dharura. Yanga tulieni dawa ipenye.
HahahaaaaaNauza yanga mbovu na dola chakavu.....
Nauza yanga mbovu na dola chakavu....
Nauza yanga mbovu na dola chakavu....
Kumbe ulikuwa unanichukia?Nishaanza kukupenda aisee
Hahaha mikia wao zao mbeleko tu