Waandaaji wa TMT Inayorushwa Live ITV hamkujipanga

vevenononombo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2015
Posts
1,289
Reaction score
421
Mmetuangusha waandaaji ya TmT maana mambo yamekuwa kama vile mpikurupuka
 
Nimeshindwa kuendelea kutazama baada ya kuona wanapoteza muda ovyo...hawajali hata airtime ya mwenyewe. Ni aibu Karen hii kufanya mambo ya jinsi ile. Hao ndiyo mnaita ma MC!
 
So the final was the past 9t.!? Micd that. Nani kashinda.
 
Kiukweli nilikereka sana jana, hili sindano bora walifunge tu.
Na ninatabiri kua huu utakuwa mwaka wao wa mwisho maana hakuna mdhamini atakayejitokeza kudhamini watu ambao hawajajipanga na hawajui wanafanya nini.
Shindano lilipwaya kiujumla, hata wahudhuriaji walikuwa wachache sana, mboto na Lulu wamechemka hasa mboto maana stand comedy haiwezi basi taabu tupu.
Ila niwapongeze kwenye jambo moja tu, mshindi ALISTAHILI.
Hilo tu.....
 
Na mimi nimeridhika sana Denic kushinda
 
Back
Top Bottom