vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Mmetuangusha waandaaji ya TmT maana mambo yamekuwa kama vile mpikurupuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmetuangusha waandaaji ya TmT maana mambo yamekuwa kama vile mpikurupuka
Ni kweli mkuu bdo sana hawa jamaa,utafikiri hawajui km wako live!
Mmetuangusha waandaaji ya TmT maana mambo yamekuwa kama vile mpikurupuka
Kiukweli nilikereka sana jana, hili sindano bora walifunge tu.
Na ninatabiri kua huu utakuwa mwaka wao wa mwisho maana hakuna mdhamini atakayejitokeza kudhamini watu ambao hawajajipanga na hawajui wanafanya nini.
Shindano lilipwaya kiujumla, hata wahudhuriaji walikuwa wachache sana, mboto na Lulu wamechemka hasa mboto maana stand comedy haiwezi basi taabu tupu.
Ila niwapongeze kwenye jambo moja tu, mshindi ALISTAHILI.
Hilo tu.....