Waandaji wa ASFC: Uchaguzi wa Uwanja wa kucheza uwe kwa kuzingatia Ubora na Ukubwa

Page 94

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
5,204
Reaction score
15,207
Kwanza nawapongeza kamati mahususi kwa ajili ya Uandaaji wa Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Federation Cup. Hakika kila mwaka kuna maendeleo kadri ambavyo linazidi kusonga mbele. Hakika mnazidi kufanya soka la Tanzania lizidi kupiga hatua mkishirikiana na TFF.

Lakini pamoja na jitihada nyingi, kuna kasoro ambazo lazima mzitatue ili kufanya mashindano yenyewe yalete hisia na msisimko wa aina yake.

Moja, ni uchaguzi wa uwanja maalum kwa ajili ya kupigia mchezo wa fainali. Logic yenu ya kuchagua viwanja katika mikoa ambayo hazina timu Ligi Kuu ili kuleta chachu ya maendeleo ya soka katika mikoa husika ni nzuri sana.

Lakini, lazima tukubaliane na ukweli kuwa mechi ya fainali inakutanisha timu bora katika mashindano hayo. Na kwa kuwa ni mechi ya kuhitimisha mashindano husika, lazima tuzingatie ubora wa pitch, ukubwa wa pitch na uwezo wa kubeba mashabiki.

Kwa siku ya leo, mechi ilikuwa ya hovyo na isiyovutia kabisa. Kwa mtu ambaye huenda labda haijui Simba na Yanga, kufungulia chaneli angelijua ni mechi ya timu za mtaani tu.

Hakuna mipira ya kueleweka. Ni butua butua tu. Uwanja umebana sana. Mipango ya mwalimu inafeli na matumizi ya nguvu yanazidi katika kupigania mpira. Mchezo unakosa ladha

Mpaka inawapa wachezaji shida kupimia kiwango cha force cha kupiga mipira. Mara nyingi mchezaji anapiga mpira akidhani itafika mahali fulani, lakini inazidi kiwango. Kama ulimuangalia Chama, kona mbili zote zinafika karibu na kona ya upande mwingine.

Mechi ya fainali ichezwe katika viwanja vikubwa na vyenye uwezo wa kubeba idadi ya mashabiki wengi. Watazamaji 20k kwa mechi ya watani wa jadi ni ndogo sana.

Boresheni mashindano na hakika yataizidi kuvutia.

Mwisho, naipongeza sana timu ya Mabingwa Simba SC kwa kutwaa tena kombe hili. Hakika tunastahili tena na tena.
 
Azam...Azaaaaaaaam...Azaaaaaaam !!
Jazaa yako SS Bakhressa utalipwa kwa Mwenyezi Mungu.... (kwani haijawahi tokea ktk Historia)
Coverage
Usimamizi
Taratibu
Nidhamu
Misaada
Nk nk nk.
 
Hoja nzuri mkuu? Are u serious? ?

Mimi sijamuelewa kwakweli

Uhusiano wa kiwanja kubeba mashabiki wachache (kidogo) kwamba na pitch imepunguzwa udogo? ? Mpaka chama anashindwa kukadiria?
Huwezi kumwelewa kiwanja umekiona leo? Ukubwa wa pitch, hali yake na capacity vyote havikukidhi level ya mechi yenyewe
 
Mbona hivyo viwanja vya mikoani ndio kwenye ligi kuu Simba na ya ga ndio hucheza mechi zao za ugenini na huwa wanashinda wewe unataka Nini ?
 
Hoja nzuri mkuu? Are u serious? ?

Mimi sijamuelewa kwakweli

Uhusiano wa kiwanja kubeba mashabiki wachache (kidogo) kwamba na pitch imepunguzwa udogo? ? Mpaka chama anashindwa kukadiria?
Huwezi kuelewa mpaka pale akili itakapokukaa sawa.

Kapooze kwanza machungu ya kupigwa kimoja cha moto. Next week rudi.

Hata hivyo, umefurahia hali ya pitch maana vinginevyo mngeoga mengi!.
 
Kwa kuongezea, wangetenga viwanja kwa kanda na kisha wao wakaiboresha pitch kwa kushirikiana na TFF.

Mfano wachague Dar, Dodoma,Mbeya, Tabora, Arusha na Mwanza.

Zinatisha sana hizo sehemu ku host fainali msimo mmoja hadi mwingine.
 
Huwezi kumwelewa kiwanja umekiona leo? Ukubwa wa pitch, hali yake na capacity vyote havikukidhi level ya mechi yenyewe
Nimekiona mkuu. Na ambacho sijaelewa ni kuhusiana Na huo ukubwa wa pitch. Yaan kabisa kwa mawazo yako unaelewa Na kudhani kwamba kuna kiwanja kitachezeshwa mpira chini ya TFF kiwe Na vipimo pungufu?

Hali yake Na Capacity ni kweli ni kibovu na padogo kulinganisha Na viwanja vya Dar(Sasa hapa sijui ndo waliona lengo lile ni la muhimu kuliko haya mengine) hapa kuna cha kujadili

Ila ukiniambia pitch ya kuchezea ni ndogo sielewi bado mkuu Na litakua ni ajabu last 9 la dunia😂😂
 
Huwezi kuelewa mpaka pale akili itakapokukaa sawa.

Kapooze kwanza machungu ya kupigwa kimoja cha moto. Next week rudi.

Hata hivyo, umefurahia hali ya pitch maana vinginevyo mngeoga mengi!.
Kaangalie Jukwaa la Sports utaelewa niko upande gani, au kwa kukusaidia mimi ni Red toka Man mpk Simba

Hata hivyo naomba nikukumbushe tu sio ugomvi mkuu kujadili watu badala ya mada husika.

Ungenielewesha tu kwamba una uhakika Na huo uwezekano wa mpira chini ya TFF kuchezwa kwenye pitch iliyopungua vipimo? Kweli?

Kwakua sielewi Na siamini hilo swala. Ubovu Na udogo unaonekana tu Ila swala la pitch aidha umetudanganya au watu wote wa mpira ni wajinga. Sio TFF sio sisi Simba na wala sio Yanga u topology

Hata UMISETA kwenyewe tulikua tunapima viwanja,sembuse game kama hii
 
Kaka, vema!.

Twende kwenye mada husika.

Kwani huelewi kwamba kuna viwanja vikubwa na vidogo? Sawa, inaweza kuwa inakubaliwa kuchezewa mpira lakini ni kidogo japo vipimo vyake vipo ndani ya uwiano unaokubalika.

Ijapokuwa taarifa za ukubwa wake sina, but you can tell by the eyes that the pitch is small in size.

Ubora wa nyasi pandikizwa ni hafifu pia.

Wewe ni shahidi, katika mashindano makubwa, mechi kubwa haswa za fainali, viwanja vitumikavyo huwa katika kiwango bora kabisa.

Silinganishi Tanzania na wenzetu huko nje, ila angalau uwanja uwe katika nzuri na ya kuridhisha.

Kama hujaona ubovu wa uwanja ni aidha umechagua kukakamaa ama unakataa kuukubali uongo.
 
Yeah katika ubora wa kiwanja ni kweli hata sio kwa kulinganisha name vya nje ya nchi hata ukilinganisha name hivi hivi vya CCM vingine L. Tanganyika kinapwaya

Kwenye ukubwa wa kubeba mashabiki hiyo inajulikana na ndio lengo haswa la kupeleka msisimko huko wala hatuwezi kubishana kwa hilo

Kipengele cha pitch nilidhani ni jukumu last TFF kuweka standard viwanja vinavyochezewa ligi yake viwe saw a? ? Maybe 105x68 vyote
Sasa mbona unanipa kichekesho mkuu. Ndiomaana nimepigwa na butwaa ndugu. Kwa kuangalia sijagundua labda ntapitia tena

Ila atleat kila mtu angefanya yaliyo ndani ya uwezo wao mbona simpo? Hawawezi kujenga uwanja ubebe mashabiki wengi sawa. Ila at least uwe standard na uwe na nyas nzuri/hata kama bandit

Unataka kuniaminisha kwamba tumefanya ajabu la 9 la dunia wallahy duh
 
Kaangalie Jukwaa la Sports utaelewa niko upande gani, au kwa kukusaidia mimi ni Red toka Man mpk Simba

Hata hivyo naomba nikukumbushe tu sio ugomvi mkuu kujadili watu badala ya mada husika.

Ungenielewesha tu kwamba una uhakika Na huo uwezekano wa mpira chini ya TFF kuchezwa kwenye pitch iliyopungua vipimo? Kweli?

Kwakua sielewi Na siamini hilo swala. Ubovu Na udogo unaonekana tu Ila swala la pitch aidha umetudanganya au watu wote wa mpira ni wajinga. Sio TFF sio sisi Simba na wala sio Yanga u topology

Hata UMISETA kwenyewe tulikua tunapima viwanja,sembuse game kama hii
Itakuwa huelewewi kuhusu vipimo vya uwanja tu ndugu. Mfano tu rahisi je uwanja wa azam ni sawa na wa Benjamini mkapa? Hapa nazungumzia ukubwa wa pitch.
 
Kwa mujibu wa msemaji wa Azam FC, ZakaZakazi, ukubwa wa dimba (pitch) la Azam Complex ni sawa kabisa na ule wa Benjamin Mkapa.

Aliyaongea hayo alipokua anatoa ufafanuzi na kushangazwa na uamuzi wa CAF kuwazuia NAMUNGO kutumia uwanja wa Azam katika mechi za makundi za kombe la shirikisho barani Afrika.
 
Yeah katika ubora wa kiwanja ni kweli hata sio kwa kulinganisha name vya nje ya nchi hata ukilinganisha name hivi hivi vya CCM vingine L. Tanganyika kinapwaya

Kwenye ukubwa wa kubeba mashabiki hiyo inajulikana na ndio lengo haswa la kupeleka msisimko huko wala hatuwezi kubishana kwa hilo

Kipengele cha pitch nilidhani ni jukumu last TFF kuweka standard viwanja vinavyochezewa ligi yake viwe saw a? ? Maybe 105x68 vyote
Sasa mbona unanipa kichekesho mkuu. Ndiomaana nimepigwa na butwaa ndugu. Kwa kuangalia sijagundua labda ntapitia tena

Ila atleat kila mtu angefanya yaliyo ndani ya uwezo wao mbona simpo? Hawawezi kujenga uwanja ubebe mashabiki wengi sawa. Ila at least uwe standard na uwe na nyas nzuri/hata kama bandit

Unataka kuniaminisha kwamba tumefanya ajabu la 9 la dunia wallahy duh
Umeamua tu kubisha ,hujui na hutaki kujua kwa kujiona mwerevu ,viwanja kwenye pitch havilingani Kuna viwanja vingine pitch ndogo
 
Soma mada nzima na kama hujaelewa unauliza.

Swala la ukubwa/udogo ni standard na inajulikana sibishii hilo
Tatizo langu lilikua pale kufanya kwamba wachezaji hawakuelewa ukubwa huo? Pamoja na familiarity test??

Maana yangu ukubwa/udogo wa kiwanja ni kitu cha makubaliano na kama alivyosema mtoa mada inaonekana kbis.

Kwenye ubovu na capacity huko yako nje ya uwezo wao. Naona waliamua tu kulazimisha
 
Back
Top Bottom