Waandamanaji Nairobi wavamia jengo la Bunge baada ya kuwashinda nguvu polisi, yasemwa waandamanaji 10 wameuawa kwa kupigwa risasi halisi

Tukio hili laonyesha jinsi serikali ya Kenya ilivyoshindwa kulinda jengo la bunge jengo la kistratejia na shughuli za serikali nchini humo ukizingatia maandamano haya yamechukua siku 7.

Hivyo kulikuwa na muda wa kutosha kwa serikali kuchukua hatua za tahadhari na kuongeza ulinzi katika majengo ya serikali likiwemo hili jengo la Bunge.
 
There is a lot of observation from there!

Kukopakopa kupita kiasi si kigezo cha kuleta maendeleo barani Afrika. Vyombo vya fedha vya kimataifa wao huangalia faida kwao na si kwa Afrika.

Wakati muafaka sasa umefika kwa viongozi wa nchi jirani kufikiri kwa makini matendo yao na mifumo yao ya kukopakopa.
 
watu wanataka HAKI na si vinginevyo wameshtuka wameona kuna uonevu na maisha yanakuwa magumu HAKI haipatikani on the keybody.....
Rushwa ni adui wa haki na katika nchi yoyote Rushwa ikitamalaki basi haki hupotea.

Majirani zetu ni moja ya nchi duniani ikiwemo Tanzania ambazo Rushwa na vitendo vya kifisadi vimetamalaki.

Huo ndo mfumo rasmi wa Kleptokrasia ambao huimarisha vitendo cha rushwa na vya kifisadi.
 
What do you know about Kenya?stop reasoning like a moron and get out of that mentality ya ukabila.
Kenya hadi polisi wamegawanyika kikabila na polisi wengi Jaluo ndio maana hawataki kutumia nguvu kubwa kudhibiti Jaluo wenzao wanaandamana

How comes barabara zinafungwa na waandamanaji? Tanzania Jeshi letu hakuna ukabila wangetwangwa kuhakikisha wanaondoka barabarani kupisha shughuli za kiuchumi kwenye barabara ziendelee

Kenya na Jeshi lao hopeless kabisa watatumbukiza Kenya kwenye vita za wenyewe Kwa wenyewe muda si mrefu

Watanzania tuliwasaidia mlipotwangana na ukabila wenu na kuzalisha wakimbizi WA Ndani Kikwete akaja kuwasaidia mnataka kuingia part two ya vita za ukabila wenu wapumbavu nyie muanze tena kutusumbua watanzania tuwaletee msuluhishi

Shenzi type nyie
 
Tukio hili laonyesha jinsi serikali ya Kenya ilivyoshindwa kulinda jengo la bunge jengo la kistratejia na shughuli za serikaii nchini humo ukizingatia maandamano haya yamechukua siku 7.

Hivyo kulikuwa na muda wa kutosha kwa serikali kuchukua hatua za tahadhari na kuongeza ulinzi katika majengo ya serikali likiwemo hili jengo la Bunge.
Wananchi wakiamua kufanya ghasia au chochote hakuna mtu au kikundi kinachoweza kuwazuia.Weka vizuri hilo jambo akilini.Kawaulize wanajeshi/polisi wa Misri,Libya,Tunisia nk wakati wa Arab Springs.
 
Kenya hadi polisi wamegawanyika kikabila na polisi wengi Jaluo ndio maana hawataki kutumia nguvu kubwa kudhibiti Jaluo wenzao wanaandamana

How comes barabara zinafungwa na waandamanaji? Tanzania Jeshi letu hakuna ukabila wangetwangwa kuhakikisha wanaondoka barabarani kupisha shughuli za kiuchumi kwenye barabara ziendelee

Kenya na Jeshi lao hopeless kabisa watatumbukiza Kenya kwenye vita za wenyewe Kwa wenyewe muda si mrefu

Watanzania tuliwasaidia mlipotwangana na ukabila wenu na kuzalisha wakimbizi WA Ndani Kikwete akaja kuwasaidia mnataka kuingia part two ya vita za ukabila wenu wapumbavu nyie muanze tena kutusumbua watanzania tuwaletee msuluhishi

Shenzi type nyie
Haya mawazo hayana moral standing. Bure kabisa!
 
Wananchi wakiamua kufanya ghasia au chochote hakuna mtu au kikundi kinachoweza kuwazuia.Weka vizuri hilo jambo akilini.Kawaulize wanajeshi/polisi wa Misri,Libya,Tunisia nk wakati wa Arab Springs.
My friend, ondoa shaka ninafahamu barabara juu ya hilo na kuna vurugu nimewahi kushuhudia hizi za Kenya ni cha mtoto ingawa wamejitahidi mgomo umefika siku ya saba.
 
Back
Top Bottom