Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Hayo mambo ya uasi[Civil unrest] hatutaki, sisi Mh Samia anatupeleka nchi ya ahadi yenye maziwa na asali.Waandamanaji 10 wanaripotiwa kuuawa na polisi baada ya kuvamia jengo la Bunge la nchi hiyo na kuwashinda nguvu polisi.
Hali kwa sasa ni shwari kidogo baada ya polisi kuongeza nguvu ya idadi katika eneo hilo.
Sehemu moja ya jengo hilo la Bunge imeshika moto na moto huo bado waendelea.
Tukio hilo limetokea mara tu baada ya Bunge hilo kupitisha mswada wa sheria ya kodi inoongeza kodi katika bidhaa mbalimbali nchini huo.
Raisi Ruto amesema kuongeza kodi huko kutathibiti kukopa mikopo ambayo itaiathiri nchi hiyo kiuchumi.
Yadaiwa kuwa wabunge wengi walopitisha mswada huo wamepokea mlungula ili kurahisisha kupitishwa kwa muswaada huo ambao utaathiri wakenya wengi walo na kipato cha chini, wafanyabiashara na wachuuzi.
Kuna majeruhi wengi ambao wamejeruhiwa kwa risasi ambapo polisi waliamua kutumia nguvu na risasi halisi badala ya risasi za bandia au "rubber bullets".
usimuingilie kwa matusi mwelezee kwa lugha mwafaka ataelewa. dont be harsh comradeWhat do you know about Kenya?stop reasoning like a moron and get out of that mentality ya ukabila.
Jeshi kuuwa raiya huo ni ujinga wa kiwango cha mwisho RUTO ataleta machafuko yale ya 2007 cha mtoto...Jeshi liko standby langojea go ahead.
Ulinzi gani watumie rocket kupiga waandamanaji au we umeona wamefanikiwa kumkamata sniper aliyekuwa anawalenga wakampiga mpka akasema nani amemtuma kuuwa watu sasa kwa misingi ya sheria aliyemtuma mahakama si itamshitaki ni kosa kuuwa watuTukio hili laonyesha jinsi serikali ya Kenya ilivyoshindwa kulinda jengo la bunge jengo la kistratejia na shughuli za serikali nchini humo ukizingatia maandamano haya yamechukua siku 7.
Hivyo kulikuwa na muda wa kutosha kwa serikali kuchukua hatua za tahadhari na kuongeza ulinzi katika majengo ya serikali likiwemo hili jengo la Bunge.
Vijana WA Kenya hawajielewi kuwa chochote wafanyacho pumbafu zao wanachofanya kinatakiwa kuwa na support ya business community sababu wao ndio walipa Kodi wakubwa ambao wakiwaunga mkono serikali lazima iwasikilize sababu ndio taxpayers wakubwa wanalipa Kodi kuendesha serikali sasa waki loot maduka Yao support watapata wapi!Kitu ambacho wataniboa ni kuvunjavunja Maduka na Property za raia lakini so far π«‘
Naona wanajisevia
Haki gani?Kwa hiyo ww huwezi jitolea kufa ukipigania haki??
Haki ya Mkeo na watoto wanabakwa na ccmHaki gani?
Ahahahahaha! Sikutegemei hoja tofauti na hii kutoka kwa nyumbu kama wewe. Nipo na mamaako hapa. Si unajua mwisho wa mwezi huu! Ahahahahaha!!!Haki ya Mkeo na watoto wanabakwa na ccm
Hawajioni kama wana shida, mzigo wote bebesha mwananchi, mkamue zaidiHila viongozi wa nchi za africa huwa solution ya matatizo ya kifedha huwa wanaona kupandisha gharama kwa wananchi badala ya kupunguza matumizi ya serikali ya sio ya lazima unakuta nchi ina hali ngumu kifedha lakini hyo hyo nchi imetoa order gari za dhamani kubwa kwa ajili ya viongozi wakati wangeweza kununua gari nzuri kwa bei ya chini
Tatizo Kenya ajira za Polisi huenda kikabila sana shida inaanzia hapoHii iwe wake up call kwa watawala wanaowategemea polisi
Kwamba polisi nao hujilegeza kwa waandamanaji ili yatokee yaliyotokea na
Kutuma ujumbe kwa watawala
Kuwa hawako salama kihivyo
πππ KamandaHawasogei na ipo siku yao. Kwanza sijui kwanini watu wanacomment kwenye thread za machawa. Tuwawekee tu hashtags tunasepa