Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Kazi na dawa, mwili haujengwi kwa tofali. Safi sana Gen Z 👏👏👏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa wa MAMA sijui kama watausogelea huu Uzi😁Kazi na dawa, mwili haujengwi kwa tofali. Safi sana Gen Z 👏👏👏
Endeleeni kuwadanganya na Hawa 😆😆Usihamaki ndivyo Hali ilivyo,
Walizoea kula Kwa mama ntilie, Leo wanakula canteen ya Bunge,
Kumbe tusikate tamaa maishani!!
Ni Nchi Jirani tu hapo 🤔
Karibuni🙏
Hawasogei na ipo siku yao. Kwanza sijui kwanini watu wanacomment kwenye thread za machawa. Tuwawekee tu hashtags tunasepaChawa wa MAMA sijui kama watausogelea huu Uzi😁
Wamejimwagia minyama tuUsihamaki ndivyo Hali ilivyo,
Walizoea kula Kwa mama ntilie, Leo wanakula canteen ya Bunge,
Kumbe tusikate tamaa maishani!!
Ni Nchi Jirani tu hapo 🤔
Karibuni🙏
Huu Uzi ni kwa wanaotamani ya kenyaChawa wa MAMA sijui kama watausogelea huu Uzi😁
Endeleeni kuwadanganya na Hawa 😆😆
View: https://twitter.com/ChademaTz/status/1805608195689230841?t=o7XW6rzHt3oFYgpRNz_3TQ&s=19
Muswada umepita bungeni. Labda wakamzuie Ruto kusaini. Vinginevyo wanajisumbuaNi hatari aisee wakenya wamechafukwa.
Nimeisoma hiyo historia. Haihusiani na yaliyotokea huko.Unaongea kama hujasoma historia ya kinjeketile Ngwale.
Inasikitisha sana.
Endeleeni kuwadanganya na Hawa 😆😆
View: https://twitter.com/ChademaTz/status/1805608195689230841?t=o7XW6rzHt3oFYgpRNz_3TQ&s=19
Very good. Watu wengi ni wazito kulipa kodi kwani wanajua viongozi wanazitumia kustarehe.Mfano nimepita hapa round about ya samaki samaki Mwanza ,Sasa bwana nikaona tangazo kuwa unaponunua usipodai risiti una idhulumu nchi yako nikawaza mbona tra hawana kampeni kuwa Kodi za wananchi zitumike vizuri. Hebu waza makamba akasaini mktaba wa kukodi software ya umeme kukatika tokea India kwa bilioni 78. Je hili tra hawalioni Kama ni dhuluma
Yaani Kodi ingekuwa inatumika vizuri am sure ningekuwa najipeleka mwenyewe na wananchi wengi mno wangelipa Kodi wenyewe hata bila ya tra. Kuna shule hapa Mwanza mjini fumagila watt wako karibu 2000 na uchafu Ila mwalimu wa fizikia mmoja,na mathematics. Hebu imagine walimu wapo wamejaa mitaani viongozi wanaowaza matumbo na sio kutumikia nchi na wananchi wao waache majina kwenye moyo wa mtu wao wanaowaza kumiliki majengo Dubai, London na new York. Wanaoenda kuomba msaada ni wengi kuliko wanaotaka kutoa msaada. Yaani watu 50 kwenye msafara wa kuomba msaada wanakaa na watu wanne tu. Raisi anasafiri na wasanii Ila bodaboda hasafiri nao ili wakapate uzoefu wa biashara iyo huko nje wanafanyejeVery good. Watu wengi ni wazito kulipa kodi kwani wanajua viongozi wanazitumia kustarehe.
dah...ndo ivo mkuu wanasema some people have to die for other's to survive.....Moyo wangu unauma kwa hao waliopigwa risasi.