Waandamanaji Nairobi wavamia jengo la Bunge baada ya kuwashinda nguvu polisi, yasemwa waandamanaji 10 wameuawa kwa kupigwa risasi halisi

Waandamanaji Nairobi wavamia jengo la Bunge baada ya kuwashinda nguvu polisi, yasemwa waandamanaji 10 wameuawa kwa kupigwa risasi halisi

Mfano nimepita hapa round about ya samaki samaki Mwanza ,Sasa bwana nikaona tangazo kuwa unaponunua usipodai risiti una idhulumu nchi yako nikawaza mbona tra hawana kampeni kuwa Kodi za wananchi zitumike vizuri. Hebu waza makamba akasaini mktaba wa kukodi software ya umeme kukatika tokea India kwa bilioni 78. Je hili tra hawalioni Kama ni dhuluma
Very good. Watu wengi ni wazito kulipa kodi kwani wanajua viongozi wanazitumia kustarehe.
 
Very good. Watu wengi ni wazito kulipa kodi kwani wanajua viongozi wanazitumia kustarehe.
Yaani Kodi ingekuwa inatumika vizuri am sure ningekuwa najipeleka mwenyewe na wananchi wengi mno wangelipa Kodi wenyewe hata bila ya tra. Kuna shule hapa Mwanza mjini fumagila watt wako karibu 2000 na uchafu Ila mwalimu wa fizikia mmoja,na mathematics. Hebu imagine walimu wapo wamejaa mitaani viongozi wanaowaza matumbo na sio kutumikia nchi na wananchi wao waache majina kwenye moyo wa mtu wao wanaowaza kumiliki majengo Dubai, London na new York. Wanaoenda kuomba msaada ni wengi kuliko wanaotaka kutoa msaada. Yaani watu 50 kwenye msafara wa kuomba msaada wanakaa na watu wanne tu. Raisi anasafiri na wasanii Ila bodaboda hasafiri nao ili wakapate uzoefu wa biashara iyo huko nje wanafanyeje
 
Back
Top Bottom