Kaongea nini?Raisi Ruto kuhutubia taifa usiku huu.
Au sio?Hayo mambo ya uasi[Civil unrest] hatutaki, sisi Mh Samia anatupeleka nchi ya ahadi yenye maziwa na asali.
Kama mtu ana hoja, maoni atumie, Diwani au mbunge wake , Serikali ni sikivu, tuwe na uzalendo!
Wali nyama vitani 😀😀😀😀😀😀Duuh! cha kwanza wali nyama.
Kabisa mkuu,Imagine lile bunge letu hovyo la jana usiku, tukaliacha salama mpaka likamaliza kile kikao chake cha umbea, kama tungekuwa na nusu tu ya ujasiri wa wakenya, wale kenge jana wasingetoka kule jengoni.
Mattacko yako we jamaaMwana kulitafuta mwana kulipata, wahenga walisema.
Wewe huna mattacko?🙂Mattacko yako we jamaa
Una akili ya kijinga sana. Ni kama hujaenda shule vile.Tanzania tuanze kujipanga muda wowote mipakani Mpaka WA Tanzania na Kenya watu waweza Anza kufurika Tanzania kukimbia mapigano au wafanyabiashara hasa wahindi WA Kenya kuvuka Mpaka Kwa wingi kuja Tanzania wakisubiri hali.ipoe Kenya ndio warudi
Punguza chuki usije ukafa.Vijana WA Kenya hawajielewi kuwa chochote wafanyacho pumbafu zao wanachofanya kinatakiwa kuwa na support ya business community sababu wao ndio walipa Kodi wakubwa ambao wakiwaunga mkono serikali lazima iwasikilize sababu ndio taxpayers wakubwa wanalipa Kodi kuendesha serikali sasa waki loot maduka Yao support watapata wapi!
Tanzania tuko vizuri wafanyabiashara wakubwa wameigomea serikali ya Tanzania kufungua maduka hadi serikali iondoe kero na serikali imekuja mbio kuwa ohhh tunaondoe
Hayakufanyika maandamano kama Kenya ku achieve objective
Wakenya wanaingia Tu vibaka mitaani wasiojua Ku achieve objective inahitaji support ya business community sio tu ku loot maduka Yao
Vijana WA Kenya shenzi zenu hopeless kabisa
Watanzania tunajielewa na strategy za kudai haki
Vijana WA Tanzania MSI copy huo ujinga WA vijana WA Kenya wapumbavu wasiohitaji support ya business Community ya Kenya wanaopora maduka yao