Waandamanaji Nairobi wavamia jengo la Bunge baada ya kuwashinda nguvu polisi, yasemwa waandamanaji 10 wameuawa kwa kupigwa risasi halisi

Waandamanaji Nairobi wavamia jengo la Bunge baada ya kuwashinda nguvu polisi, yasemwa waandamanaji 10 wameuawa kwa kupigwa risasi halisi

Vijana WA Kenya hawajielewi kuwa chochote wafanyacho pumbafu zao wanachofanya kinatakiwa kuwa na support ya business community sababu wao ndio walipa Kodi wakubwa ambao wakiwaunga mkono serikali lazima iwasikilize sababu ndio taxpayers wakubwa wanalipa Kodi kuendesha serikali sasa waki loot maduka Yao support watapata wapi!

Tanzania tuko vizuri wafanyabiashara wakubwa wameigomea serikali ya Tanzania kufungua maduka hadi serikali iondoe kero na serikali imekuja mbio kuwa ohhh tunaondoe

Hayakufanyika maandamano kama Kenya ku achieve objective

Wakenya wanaingia Tu vibaka mitaani wasiojua Ku achieve objective inahitaji support ya business community sio tu ku loot maduka Yao

Vijana WA Kenya shenzi zenu hopeless kabisa

Watanzania tunajielewa na strategy za kudai haki

Vijana WA Tanzania MSI copy huo ujinga WA vijana WA Kenya wapumbavu wasiohitaji support ya business Community ya Kenya wanaopora maduka yao
Punguza chuki usije ukafa.
 
Kigogo anateteaje kuwa sema udili na wezi wa Mali za umma na walipa Kodi walipe. Sasa nikashindwa kuelewa kuwa Kodi ambayo inalipwa na watanzania na hao wezi ama matumizi mabaya ya pesa za umma tofauti Iko wapi.
Sasa njoo why mkazo usitilie kwenye Kubana matumizi ya ovyo ya Kodi,wapunguze anasa, cag Kila ripoti anataja wezi Ila hawaguswi.
Waza msafara wa watu 50 wanaenda Korea kuomba msaada pamoja na wasanii Ila Hilo tra hauwezi weka kaulimbiu matumizi sahihi ya Kodi za watanzania.
 
President Ruto is the man we need for Africa.

He will not sign the finance Bill 2024

He should be the chairman of AU to change it's behavior.
 
Back
Top Bottom