johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Acha unoko bwasheeSafi sana.
JohnHii sasa ni mbaya jamani Biashara za Mbunge ni za kifamilia
I wish shughuli kama hiyo ingehamia na huku gizani nilipo, ili tuheshimiane.Acha unoko bwashee
Natamani na yule mbunge wa kike wa Mombasa aliyesema kwa kiburi kwamba leo Jumanne atapiga tena kura ya ndiyo kwa muswada huo naye ashughulikiwe kikamilifuHii sasa ni mbaya jamani Biashara za Mbunge ni za kifamilia
Waandamanaji Nchini Kenya wameharibu Mali na Biashara mbalimbali za wabunge waliopigia Kura ya Ndio Finance Bill
Aidha Ofisi za Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani na zile za Gavana wa Nairobi zimechomwa moto
Mali hizo zimeoneshwa na Citizen Tv zikiteketea
Wanadai Zakayo Ashuke
Halafu kimbinyiko!.. πUkuu tutanza na kuchomaa mabasi ya ester π π
Hatari na Nusu πΌKina Shabiby wajifunze kitu,
Yule ameokolewa Kwa Chopa kutoka BungeniNatamani na yule mbunge wa kike wa Mombasa aliyesema kwa kiburi kwamba leo Jumanne atapiga tena kura ya ndiyo kwa muswada huo naye ashughulikiwe kikamilifu
N za nani nazo hzo mkuu,,,Halafu kimbinyiko!.. π