Waandamanaji wachoma moto Biashara za Wabunge zikiwemo Hotel, Maduka na Mabasi, Ofisi ya Kimani yateketezwa!

Waandamanaji wachoma moto Biashara za Wabunge zikiwemo Hotel, Maduka na Mabasi, Ofisi ya Kimani yateketezwa!

i kuja kwenye Kioski changu kukichoma ati unahasira na Wabunge haimake sense.
Wamechomewa waliodharau kauli ya wananchi na kupitisha Bill huku wakifahamu kwamba inawaumiza wananchi walio wengi. Wabunge wote waliossema yes ndio waliochomewa.

Kwanini kuchomewa mali za watu wanaoumiza ni kosa ila wao kukandamiza raia waliowapa dhamana isiwe kosa?
 
Sasa watampa Ruto sababu ya kuingiza Jeshi Barabarani
Kwanini aingize jeshi barabarani?

Ingependeza ungekuja na suluhisho kwamba kwakua Ruto amewasaliti wakenya milioni54+, richa ya kufanya maandamano ya amani kumwambia muswada haufai lakini kwa kiburi akapitisha.

sasa ulipaswa kuja na ushauri kwamba wafanye nini baada ya kumwambia kwa amani akapuuza akaendelea kufanya anachoona ni sawa.

Wewe unafikiri njia sahihi ni ipi wao kusikilizwa? Tusaidie mkuu huenda ulasaidia
 
Ingependeza ungekuja na suluhisho kwamba kwakua Ruto amewasaliti wakenya milioni54+, richa ya kufanya maandamano ya amani kumwambia muswada haufai lakini kwa kiburi akapitisha.
Sasa akae aangalie Nchi inachomwa?! Hadi Wakora wameya Hijack Maandamano hii imebadilika imekuwa ni Riots wao wange occupie Jengo la Bunge mpaka na njia zingine sio uharibifu.
 
Hii sasa ni mbaya jamani Biashara za Mbunge ni za kifamilia

Waandamanaji Nchini Kenya wameharibu Mali na Biashara mbalimbali za wabunge waliopigia Kura ya Ndio Finance Bill

Aidha Ofisi za Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani na zile za Gavana wa Nairobi zimechomwa moto

Mali hizo zimeoneshwa na Citizen Tv zikiteketea

Wanadai Zakayo Ashuke
Mchuma Janga hula na Wakwao....
 
Serikali si Ina wachekea ngoja wawakomeshe.

Eti saizi ndio wanaingiza Jeshi ,too late

View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1805649684532195823?t=c-szmw6cBWjeNCrI6rYdbA&s=19
 
John

Hii mbaya una maana gani? Si mbaya kukandamiza na kudharau wananchi ila ni mbaya kuchoma za watu wanaokandamiza na kuwadharau wenye nchi?
Kwenye finance bill yetu naomba aliesoma akaielewa anielemishe mpango mkakati uilopo kuongeza pato la nchi effectively kupitia

1. Hifadhi za kitalii
2. Madini
3. Gesi
4. Maziwa
5. Bahari
6. Makamaa ya mawe
7. Misitu
8. Ardhi iliyopo hasa fertile land
9. Nchi kukaa sehemu ya kimkakati ina uwezo wa kuhudumia nchi 6 za land locked countries (Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Congo Na Malawi) kuzalisha matrilion ya shilingi.

Naomba kujua kama vina msukumo wa kutosha, tofauti na kukandamizia focus kwenye tozo na kodi kwa wananchi.
 
Binadam akivurugwa achana nae viongozi wamejaa jeuri kiboko yao ndo hiyo.
Ukivunja Maduka ya Raia unaharibu hata lengo la Maandamano hata Raia wengine watakupinga na Watawala unawapa FURSA ya kukushukia na kutumia Nguvu mara dufu.

Maandamano yetu ya CHADEMA hakuumia hata Nzi mdogo🤏
 
Back
Top Bottom