PreGE2025 Waandishi Habari Wasiothibitishwa hawatoruhusiwa kuripoti uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa habari (JAB) imesema waandishi wa habari ambao hawatakuwa wamethibitishwa na ithibishwa ni bodi hiyo hawatoruhusiwa kutekeleza majukumu yoyote yanayohusiana moja kwa moja na mchakato wa uchakuzi mkuu 2025.

Kundi hilo la waandishi wa habari linajumuisha Wahariri, Waandishi wa kujitegemea (freelancers na correspondents), watangazaji wa Radio na Televisheni, Wapiga picha, Waandaaji wa vipindi vya habari (News producers) na Waandishi wa habari wa kigeni.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Mei 22,2025 na bodi hiyo kupitia Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Patrick Kipangula, waandishi wote wanatakiwa kujisajili kabla ya 21 Juni, 2025 kwa kufuata vigezo na masharti.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ili kukidhi vigezo kwa mujibu wa Kanuni za sheria ya huduma za habari, tangazo la serikali Na.18 la Februari 3, 2017 waandishi hao watahitaji kuambatanisha vyeti vyao vya elimu kuanzia diploma vilivyothibitishwa na mamlaka husika.

Pamoja na mambo mengine taarifa hiyo imetaja mahitaji mengine kuwa ni pamoja na picha ndogo, utambulisho wa taasisi anayotoka, namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA), namba ya simu, barua pepe pamoja na ada ya ithibati Sh.50,000.

Bodi hiyo imewasisitiza waandishi kutumia muda huo uliotolewa kuhakikisha wanajisajili na kuthibitishwa kupitia mfumo wa TAI.
1747988887746.png
 
Chanzo Nipashe
 
CCM kweli wamefilisika, wamechoka na kuishiwa maarifa kwa kiasi kikubwa sana. Wanatapata.

Yaani Katika dunia ya leo yenye utajiri wa social media bado unawaza kudhibiti habari za uchaguzi kupitia mainstream media wakati kila mwenye kumiliki smartphone siku hizi ni mwandishi wa habari( citizen journalism)!

Ni wazi hii serikali inapanga kuficha mambo fulani ila wajue zama za giza zilishapitwa na wakati na zaid siku hili wananchi wanapata habari kupitia mitandao.

CCM wako outdated sana na sababu ni kujaza wazee Katika sehemu za maamuzi.
 
Nchi imekuwa ya kitoto sana, Sasa kuripoti mambo ya uchaguzi si ni haki ya Kila mtanzania? Ama shida nini? Yaani Mimi kuwaambia watanzania Samia ameshinda kwa ni kosa? Ama wanaogopa picha za misululu mirefu wakati wa kupiga kura itawaumiza wapinzani?
 
Huelewi wewe.kinachoongelewa hapo ni waandishi wa habari wa vyombo vya habari vilivyosajiliwa sio wambeya wa vijiweni
 
Wewe ndiyo huelewi fikiria zaidi.
Waandishi wa habari waliosajiliwa hupewa kadi maalumu mfano waweza ingia kwenye mechi wewe ambayo unalipia kiingilio wao wakaingia bure kuripoti

Sasa wewe huna chombo kilichosajiliwa unataka uingie bure kuripoti ? Wataingiza bure wangapi kama kila mtu anajifanya mwandishi wa habari?
 
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa habari (JAB) imesema waandishi wa habari ambao hawatakuwa wamethibitishwa na ithibishwa ni bodi hiyo hawatoruhusiwa kutekeleza majukumu yoyote yanayohusiana moja kwa moja na mchakato wa uchakuzi mkuu 2025.

Kundi hilo la waandishi wa habari linajumuisha Wahariri, Waandishi wa kujitegemea (freelancers na correspondents), watangazaji wa Radio na Televisheni, Wapiga picha, Waandaaji wa vipindi vya habari (News producers) na Waandishi wa habari wa kigeni.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Mei 22,2025 na bodi hiyo kupitia Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Patrick Kipangula, waandishi wote wanatakiwa kujisajili kabla ya 21 Juni, 2025 kwa kufuata vigezo na masharti.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ili kukidhi vigezo kwa mujibu wa Kanuni za sheria ya huduma za habari, tangazo la serikali Na.18 la Februari 3, 2017 waandishi hao watahitaji kuambatanisha vyeti vyao vya elimu kuanzia diploma vilivyothibitishwa na mamlaka husika.

Pamoja na mambo mengine taarifa hiyo imetaja mahitaji mengine kuwa ni pamoja na picha ndogo, utambulisho wa taasisi anayotoka, namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA), namba ya simu, barua pepe pamoja na ada ya ithibati Sh.50,000.

Bodi hiyo imewasisitiza waandishi kutumia muda huo uliotolewa kuhakikisha wanajisajili na kuthibitishwa kupitia mfumo wa TAI.

Mama ABDUL kwa kweli KAPANIA.
 
Zama hizi ambazo kila mwenye simu janja ni mwandishi wa habari ni kupoteza muda.
 
Uòga mtupu. Natabiri semina ya waandishi wa uchaguzi ambyo mtu asohudhuria hataruhusiwa kuandika chchte. Halafu mwisho watamtaka mwandishi aje na kadi ya uanachama wa chama chake ch siasa. Ndo ujue hujui. Yaani Tz tumefika hapo ...duh!
 
Hapa wanatafuta kuwakamata wananchi watakaotoa taarifa za uchaguzi. Kwanini ni waoga sana?
 
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa habari (JAB) imesema waandishi wa habari ambao hawatakuwa wamethibitishwa na ithibishwa ni bodi hiyo hawatoruhusiwa kutekeleza majukumu yoyote yanayohusiana moja kwa moja na mchakato wa uchakuzi mkuu 2025.

Kundi hilo la waandishi wa habari linajumuisha Wahariri, Waandishi wa kujitegemea (freelancers na correspondents), watangazaji wa Radio na Televisheni, Wapiga picha, Waandaaji wa vipindi vya habari (News producers) na Waandishi wa habari wa kigeni.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Mei 22,2025 na bodi hiyo kupitia Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Patrick Kipangula, waandishi wote wanatakiwa kujisajili kabla ya 21 Juni, 2025 kwa kufuata vigezo na masharti.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ili kukidhi vigezo kwa mujibu wa Kanuni za sheria ya huduma za habari, tangazo la serikali Na.18 la Februari 3, 2017 waandishi hao watahitaji kuambatanisha vyeti vyao vya elimu kuanzia diploma vilivyothibitishwa na mamlaka husika.

Pamoja na mambo mengine taarifa hiyo imetaja mahitaji mengine kuwa ni pamoja na picha ndogo, utambulisho wa taasisi anayotoka, namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA), namba ya simu, barua pepe pamoja na ada ya ithibati Sh.50,000.

Bodi hiyo imewasisitiza waandishi kutumia muda huo uliotolewa kuhakikisha wanajisajili na kuthibitishwa kupitia mfumo wa TAI.
Hao wa vyombo vya CCM na serikali tutajuaje kwamba wamekidhi vigezo, nikutafuta njia ya kuvibana vyombo vyenye itikadi tofauti.
 
Uchaguzi upi tena si tuliambiwa tayari CCM imeshashinda kwa 99.9% ?
 
Back
Top Bottom