Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Huelewi wewe.kinachoongelewa hapo ni waandishi wa habari wa vyombo vya habari vilivyosajiliwa sio wambeya wa vijiweniNchi imekuwa ya kitoto sana, Sasa kuripoti mambo ya uchaguzi si ni haki ya Kila mtanzania? Ama shida nini? Yaani Mimi kuwaambia watanzania Samia ameshinda kwa ni kosa? Ama wanaogopa picha za misululu mirefu wakati wa kupiga kura itawaumiza wapinzani?
Wewe ndiyo huelewi fikiria zaidi.Huelewi wewe.kinachoongelewa hapo ni waandishi wa habari wa vyombo vya habari vilivyosajiliwa sio wambeya wa vijiweni
Waandishi wa habari waliosajiliwa hupewa kadi maalumu mfano waweza ingia kwenye mechi wewe ambayo unalipia kiingilio wao wakaingia bure kuripotiWewe ndiyo huelewi fikiria zaidi.
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa habari (JAB) imesema waandishi wa habari ambao hawatakuwa wamethibitishwa na ithibishwa ni bodi hiyo hawatoruhusiwa kutekeleza majukumu yoyote yanayohusiana moja kwa moja na mchakato wa uchakuzi mkuu 2025.
Kundi hilo la waandishi wa habari linajumuisha Wahariri, Waandishi wa kujitegemea (freelancers na correspondents), watangazaji wa Radio na Televisheni, Wapiga picha, Waandaaji wa vipindi vya habari (News producers) na Waandishi wa habari wa kigeni.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Mei 22,2025 na bodi hiyo kupitia Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Patrick Kipangula, waandishi wote wanatakiwa kujisajili kabla ya 21 Juni, 2025 kwa kufuata vigezo na masharti.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ili kukidhi vigezo kwa mujibu wa Kanuni za sheria ya huduma za habari, tangazo la serikali Na.18 la Februari 3, 2017 waandishi hao watahitaji kuambatanisha vyeti vyao vya elimu kuanzia diploma vilivyothibitishwa na mamlaka husika.
Pamoja na mambo mengine taarifa hiyo imetaja mahitaji mengine kuwa ni pamoja na picha ndogo, utambulisho wa taasisi anayotoka, namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA), namba ya simu, barua pepe pamoja na ada ya ithibati Sh.50,000.
Bodi hiyo imewasisitiza waandishi kutumia muda huo uliotolewa kuhakikisha wanajisajili na kuthibitishwa kupitia mfumo wa TAI.
Hao wa vyombo vya CCM na serikali tutajuaje kwamba wamekidhi vigezo, nikutafuta njia ya kuvibana vyombo vyenye itikadi tofauti.Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa habari (JAB) imesema waandishi wa habari ambao hawatakuwa wamethibitishwa na ithibishwa ni bodi hiyo hawatoruhusiwa kutekeleza majukumu yoyote yanayohusiana moja kwa moja na mchakato wa uchakuzi mkuu 2025.