Wakati wakiripoti habari ya Mkurugenzi wa Kampuni inayotengeneza Pombe kali mkoa wa Manyara ndugu David Mulokozi kuhusu kununua helikopta yake binafsi, hawa hawa waandishi wetu wa habari badala ya kusema mtengenezaji wa aina mbalimbali za pombe kali eti wanasema "POMBE CHAMGAMSHI". Tena bora zingekuwa bia basi, pombe za billionea Mulokozi ni kama chang'aa , yaani viroba vikae chini, hakika mwandishi hajatutendea haki kukwepa kutamka neno stahiki ukaishia kupamba product yake kupoteza maana nzima ya Vinywaji vinavyotengenezwa.
Ebu turudi nyuma, hivi professionalism ya uhandishi habari kwa sasa imeishia wapi yarabi? Kichwa cha habari kinasema kanunua ndege, basi nikakimbilia kwenye picha nakuta helikopta, ni kweli helikocpta ni aina ya ndege lakini kwa mwandishi mahili basi angesema kabisa kanunua helikopta yake ya kumsaidia biashara zake na kutembelea pasingeharibika kitu, ukisema ndege tunategemea aina fulani ....yenye muundo fulani.
All in all nampongeza billionea wetu Mulokozi kwa kufanya kweli, mara nyingi watu wanaoweza hawahongei sana, wanafanya vitendo, tofauti na billionea wetu mwanamuziki pendwa kila siku tunasikia kanunua ndege , kanunua ndege, mwishi kuziba soo wakasema katapeliwa ndege,ifike mahali tufanye matendo tupunguze mdomo kama alivyofanya billionea wetu Mulokozi. Hongera sana nshomile.