M/kiti wa jukwaa la waandishi wa habari ratibu kuwe na mahojiano na Spika Ndugai na waandishi wa habari kujibu manung'uniko ya wanachi kuhusu Muhimili huu kupoteza maana halisi.
Vipo vyanzo vingi vya tuhuma zenye ukakasi kupitia kiti chake,
Mfano kuwatisha wabunge kupitisha bajeti.
Kuapa kuwakingia kifua wabunge wasio na vyama.
Kuwaondoa wabunge waliovaa vizuri bungeni huku waliovaa vibaya wakiachwa.
Kupitishwa sheria kandamizi kwa wananchi.
Kuita barua za taasisi zingine ni vipeperushi
Kuficha taarifa za hali za afya za wabunge akifa anatangaza,Huku wabunge wanaopigwa risasi anakuwa hajui wakiwa kwenye matibabu.
Mbunge akipata ajali anatangazwa.
M/Kiti wa jukwaa la waandishi wa habari ninyi ndio sauti ya wananchi.
Ombeni miadi naye kwani amekuwa akitumi kiti cha Spika ndani bila maswali na waandishi kuhoji anapotoa tamko hata kama linakinzana na sheria.
Huu ni mda mwafaka kwani bunge haliendelei